Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Tv nyingi aina ya plasma ziko hivyo.
Naombeni sifa za homebase jamanii zina sura ya kuvutia sanaa
Tv nyingi aina ya plasma ziko hivyo.
Naombeni sifa za homebase jamanii zina sura ya kuvutia sanaa
Una maanisha nini unaposema homebase mana sie wengine washamba
OkKuna tv zinaitwa homebase tv
Nakuunga mkuu STAR X chenga kuna mwanangu nampa movie yenye format kama sikosei. mkv inaplay bila sauti.....Star X sio tv ni mifano ya tv kama zilovyp tecno kwenye simu....
Umenunua star x 900,000/= si bora uongeze laki 2 ununue samsung au Sony?
zipo vizuri SanaJe ile home base tv nayo mbaya au?ina sura nzurii kwelii
HAIER,PHILLIPS,BRUHM,SONY NA HITACHI
LG ni no.1
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bana!!
Hujanielewa namaanisha samsung na lg ni wataalam wa hizo technolojia za Led na na teknolojia mbali mbali za vioo.
Kampuni nyingi zina outsource watengenezewe vifaa wakati hizi kampuni mbili wanajitengenezea almost kila kitu huwezi walinganisha na wengine
Mr uk. Hutajuta