Mkuu, unataka ubora, Alafu unakimbia Bei!Aisee.. Samsung ghali lakini
Hujanielewa namaanisha samsung na lg ni wataalam wa hizo technolojia za Led na na teknolojia mbali mbali za vioo.waliovumbua wameishakufa
Mkuu hata Sony majanga?and kama Una maswali zaidi,uliza
Homebase ni nzuri sana. Brand nyingine nzurui kwa reasonable price ni Boss. Shida watu wengi wapo obsessed na majina makubwa kama SamsungHomebase warrant miaka2
Na mimi ni hivo hivo ila kasoro tu chumbani kwa beki 3 wangu imebidi nimuwekee Samsung 50' baada ya kulalamika ile ya 42' screen yake ni ndogo na haenjoy sana.,hahahTcl si haba, angalia na level ya tech lakn mfano unaweza ukapata haier smart tv hata huyo samsung auingii ndan, TV are made to last long, kwangu nna TCL 32' smart tv room na haier 42' smart tv sitting room, na starx 19' chumbani kwa mtoto wangu
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bana!!Na mimi ni hivo hivo ila kasoro tu chumbani kwa beki 3 wangu imebidi nimuwekee Samsung 50' baada ya kulalamika ile ya 42' screen yake ni ndogo na haenjoy sana.,hahah
Star X sio tv ni mifano ya tv kama zilovyp tecno kwenye simu....Star X ni cheap na nzuri
LG ni no.1Kama ni smart tv go for Samsung ikifuatiwa na life is good au LG
Embo toa na bei elekezi za hizo hapo mkuuTcl si haba, angalia na level ya tech lakn mfano unaweza ukapata haier smart tv hata huyo samsung auingii ndan, TV are made to last long, kwangu nna TCL 32' smart tv room na haier 42' smart tv sitting room, na starx 19' chumbani kwa mtoto wangu
Samsung LED.
hii hatariii bei ya harrier hiiKina kirefu.. £3,000 LG C7 OLED Series (2017)
inchi 32 mtumba 400,hadi 450.,mpya 850,000..kuna tofauti kubwa ya picha na picha..Samsung inatoa picha nzuri but gharama,,smartTv hizo zenye YouTube.Netflix,wireless,milioni na laki mbili..hizi ukipata na deck za blue ray..utatisha Sana.uzuri WA Sony kupata miwani HD rahisi..
Ulisafirisha vipi kaka?Natumia hii nimenunua laki 9 zenj dar wanauza mil 1 na lak2
Tv nyingi aina ya plasma ziko hivyo.Mkuu ninatumia bidhaa za Sony ni mwaka wa 10 sasa,nunua Sony hutajuta japo ni ghali,Nimeshuhudia mara kadhaa zinapotokea shoti inaandika risk na kisha inajizima yenyewe,hakika Sony wapo vizuri