Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Hizo pingu za maisha then nyuma wa vimada kila kituoNdoa gani hizo wakati mwanamke anakaa na talaka mkononi?
Waulize watakwambia jinsi wanavyotamani ndoa za Kikristo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pingu za maisha then nyuma wa vimada kila kituoNdoa gani hizo wakati mwanamke anakaa na talaka mkononi?
Waulize watakwambia jinsi wanavyotamani ndoa za Kikristo!
Hakuna mwanaume ana ridhika na mwanamke mmojaNdoa za mitala zinachangia kuongezeka kwa maambukizi ya UKIMWI.
Muislam anatakiwa kuoa mke mmoja tu.
Anayeoa ndoa ya bei rahisi ndo anaakili wewe unajifanya una pesa ndoa Yako iko wapi? Hayo yote uliyoandika chini yake yakurudie mwenyewe, mwanaume unaogopa wanawake? Muone kwanza Oa kama we kweli mwanaume, huna ubavu wa kuoa we bado mtoto endelea kuwaogopa wanawake acha Rijali waoe hata kwa elfu Kumi.Wewe sema huna pesa unataka ndoa za bei rahisi... Unataka mwanamke wa bei rahisi...
Anyways ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani na kupoteza muda
Bila shaka, hii haina comeback... Akija nayo nitag.Acha fujo na mikelele.Wewe eleza tu huna mahari wala mahela ya kufanyia sherehe ya harusi.Sura imehorojeka na mabibie wanakukacha.Omba pooh!
Hapa umekosea au waliokufundisha walikuficha.Dini nzuri hii pia inawaongoza wazazi na watoto vema waislamu hawana masharti ya umri katika kuoa hasa hasa kama umri stahiki umefikiwa, mfano miaka 14, 18, na kuendelea, iko hivi unaweza mwanaume ukawa na miaka 50 ila familia ya Mwanamke ikakubali uoe Binti wa miaka 18, 20.
Mwanamke kama wewe umeumbwa kuzalishwa na kuachwa, ulaanike singo maza uliyepoteza matumaini ya kuishi, mwanamke ni chombo cha statehe kaumbwa kumfurahisha mwanaume...Anayeoa ndoa ya bei rahisi ndo anaakili wewe unajifanya una pesa ndoa Yako iko wapi? Hayo yote uliyoandika chini yake yakurudie mwenyewe, mwanaume unaogopa wanawake? Muone kwanza Oa kama we kweli mwanaume, huna ubavu wa kuoa we bado mtoto endelea kuwaogopa wanawake acha Rijali waoe hata kwa elfu Kumi.
😆😆😆😆😆Umekosea la kusema mwenzako kaelewa uislamu ndo dini ya kweli baki na propaganda zako
Wanawake wa kiislam wauswahilini wanaishi kama ngedere,wanaolewa kipindi cha mfungo,ukiisha anayotalaka mkononi..wengi ni singo maza.Upo sahihi kabisa mkuu. Binafsi sijawahi kamwe kusikia ndoa ya kiislamu imevunjika au wamepeana talaka au kumetokea mgogoro wowote.
Aah wapi..Hakuna mwanaume ana ridhika na mwanamke mmoja
Nyie ndio chanzo cha ukimwi, mwahubiri ndoa ya mke mmoja nyuma vimada Elfu moja
Kinywa changu ni kisafi siwezi kutoa maneno machafu kama Yako Allah awabariki waislamu na huyo aliyeuelewa uislamu, na akuongoze ufe ukiwa mwislamuMwanamke kama wewe umeumbwa kuzalishwa na kuachwa, ulaanike singo maza uliyepoteza matumaini ya kuishi, mwanamke ni chombo cha statehe kaumbwa kumfurahisha mwanaume...
Hasira zako za kuzalishwa na kutelekezwa usiniletee mimi mtafute aliyekuzalisha...
Ingekuwa ni kweli usemayo kungekuwa hakuna talaka wala mabaraza ya usuluhishi.. Marriage is how you make itNasema hivi watu wenye furaha na amani katika kuishi ndoa ni waislamu peke yao kwanza mwanamke na mwanaume wote wanaandaliwa kiakili, busara na hekima za kuishi maisha ya ndoa.
Dini nzuri hii pia inawaongoza wazazi na watoto vema waislamu hawana masharti ya umri katika kuoa hasa hasa kama umri stahiki umefikiwa, mfano miaka 14, 18, na kuendelea, iko hivi unaweza mwanaume ukawa na miaka 50 ila familia ya Mwanamke ikakubali uoe Binti wa miaka 18, 20.
Sasa njoo kwa hawa akina nguchiro na Zakayo wao wee kelele za kushamba na Uzuzu nyingi kama midomo ya nzi utasikia hivi umekosa wanaume mpaka uolewe na huyo mbaba, huko kibabu.
Fyuu dini la hovyo ndiomana ndoa zao amani sufuri yaani akina Zakayo wanataka kuishi maagano ya Mungu kwa akili zao.
Ndiomana siku ya kuoa au kuolewa yenyewe yanaona yametoboa kumbe ndio kwanza wanaingia katika maisha ya ibada.
Kwenye ukristo hakuna ndoa kuna vioja na maigizo.
Anaejitambua angalau Mwamposa na Rolinga, wale kweli unaona ni watu wa Mungu.
Moslem women are the best choice for marriage.
Povu ruksa mpauko ruksa ukitoa povu angalia pia umepauko.
P ang Fung Mi
Uislamu ni dini ya haki kivipi?Labda wewe ndo unasema tunatakiwa, ila ukisema waislam hiyo inamaanisha kitabu chetu kinachotuongoza kinasema tuoe kuanzia wawili Hadi wanne mwisho, hivyo ni wewe ndo unataka tuoe mmoja si Dini ya yetu ya haqi, angalia wanaume wengi wanakiri hawawezi kuwa na Mwanamke mmoja na hayo ndiyo maumbile Sahihi, dini ikahalalisha kuoa zaidi ya mke mmoja Ili kutimiza maumbile pia watoto kutambulika rasmi bila mbambamba na konakona.
Uislamu ni dini ya haki kivipi?Labda wewe ndo unasema tunatakiwa, ila ukisema waislam hiyo inamaanisha kitabu chetu kinachotuongoza kinasema tuoe kuanzia wawili Hadi wanne mwisho, hivyo ni wewe ndo unataka tuoe mmoja si Dini ya yetu ya haqi, angalia wanaume wengi wanakiri hawawezi kuwa na Mwanamke mmoja na hayo ndiyo maumbile Sahihi, dini ikahalalisha kuoa zaidi ya mke mmoja Ili kutimiza maumbile pia watoto kutambulika rasmi bila mbambamba na konakona.
Talaka nje ukilala ukaota umemwacha mke asubuhi ukiamka ruksa kumpa talakaHata ukiacha hizo habari za Mungu zisizothibitika dini ya kiislamu ipo vizuri mara elfu moja mbele zaidi ya wale ndugu wapendwa.