Nikitaka kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu. Hii dini haina ubaguzi na haina njaa njaa kwenye kuoa

Wewe sema huna pesa unataka ndoa za bei rahisi... Unataka mwanamke wa bei rahisi...

Anyways ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani na kupoteza muda
Anayeoa ndoa ya bei rahisi ndo anaakili wewe unajifanya una pesa ndoa Yako iko wapi? Hayo yote uliyoandika chini yake yakurudie mwenyewe, mwanaume unaogopa wanawake? Muone kwanza Oa kama we kweli mwanaume, huna ubavu wa kuoa we bado mtoto endelea kuwaogopa wanawake acha Rijali waoe hata kwa elfu Kumi.
 
Hapa umekosea au waliokufundisha walikuficha.

Huo umri ulioweka hapo ni umri uliokuwa adjustable na serikali yako ya kikafir alah alisema mtoto akifikisha 9yrs umuoezeshe akapasuliwe speaker.
 
Mwanamke kama wewe umeumbwa kuzalishwa na kuachwa, ulaanike singo maza uliyepoteza matumaini ya kuishi, mwanamke ni chombo cha statehe kaumbwa kumfurahisha mwanaume...
Hasira zako za kuzalishwa na kutelekezwa usiniletee mimi mtafute aliyekuzalisha...
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Binafsi sijawahi kamwe kusikia ndoa ya kiislamu imevunjika au wamepeana talaka au kumetokea mgogoro wowote.
Wanawake wa kiislam wauswahilini wanaishi kama ngedere,wanaolewa kipindi cha mfungo,ukiisha anayotalaka mkononi..wengi ni singo maza.

Hizo ndio picha halisi ya ndoa za kiislam
 
Mbona unamung'unya maneno, sema KWENYE UISLAMU MZEE WA MIAKA 50 ANAWEZA KUOA MTOTO WA MIAKA 9, usione aibu ukajibana kwenye MIAKA 18 au20
 
Kwa kauli zako hizi mtoto wa kiislam humuwezi wale hawapendi gubu na kwako linaonekana limekita mizizi. Note siongelei muslim wanaoranda mitandaoni na kutoa matusi ovyo.
 
Mwanamke kama wewe umeumbwa kuzalishwa na kuachwa, ulaanike singo maza uliyepoteza matumaini ya kuishi, mwanamke ni chombo cha statehe kaumbwa kumfurahisha mwanaume...
Hasira zako za kuzalishwa na kutelekezwa usiniletee mimi mtafute aliyekuzalisha...
Kinywa changu ni kisafi siwezi kutoa maneno machafu kama Yako Allah awabariki waislamu na huyo aliyeuelewa uislamu, na akuongoze ufe ukiwa mwislamu
 
Ingekuwa ni kweli usemayo kungekuwa hakuna talaka wala mabaraza ya usuluhishi.. Marriage is how you make it
 
Uislamu ni dini ya haki kivipi?
 
Uislamu ni dini ya haki kivipi?
 
Hata ukiacha hizo habari za Mungu zisizothibitika dini ya kiislamu ipo vizuri mara elfu moja mbele zaidi ya wale ndugu wapendwa.
Talaka nje ukilala ukaota umemwacha mke asubuhi ukiamka ruksa kumpa talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…