Nikitaka kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu. Hii dini haina ubaguzi na haina njaa njaa kwenye kuoa

Inategemea unataka kuwekeza nini katika maisha yako yaliyobaki. Kama umepima na unadhani ndoa au mke ndio kila kitu, upo sawa, wekeza tu huko
 
Hakuna mwanaume ana ridhika na mwanamke mmoja

Nyie ndio chanzo cha ukimwi, mwahubiri ndoa ya mke mmoja nyuma vimada Elfu moja
Mweleweshe aelewe na hapo ndo uislamu ukaweka Sheria badala ya kuwa kimada uwe mke Halali utambulike sio kujifichaficha, matamu mnakula wote kama Kuna machungu mnashirikiana, sio mchepuko anakula vitamu Mme akipata shida mc hepuko anaendelea na mambo yake, hapana.
 
Mwanamke mmoja ni mama ako mzazi tu acha kudanganywa ww

Mathnaa(2) wa thulathaa(3) warubaaa(4) mwendo ni huu tu

Hhhhhhh
Ndoa za mitala zinachangia kuongezeka kwa maambukizi ya UKIMWI.

Muislam anatakiwa kuoa mke mmoja tu.
 
Ndoa gani hizo wakati mwanamke anakaa na talaka mkononi?
Waulize watakwambia jinsi wanavyotamani ndoa za Kikristo!
Iyo ndo vzr sasa anakuwa hakupandi kichwani maana anakua amekalia kuti kavu
 
Naona wadau wanatetea tu hojaπŸ˜€πŸ˜€
Kama unataka kuoa muislam oa mkuu, anaetaka mkristo ataoa pia. Huwez kuinfluence chochote
 
Kinywa changu ni kisafi siwezi kutoa maneno machafu kama Yako Allah awabariki waislamu na huyo aliyeuelewa uislamu, na akuongoze ufe ukiwa mwislamu
Utakufa wewe unayechezewa na wanaume, wanakuzalisha unaishia kuitwa singo maza... Go to hell useless πŸ’© eti kinywa chako kisafi wakati umetoa mimba na unakunywa p2
 
Ndoa haihusiani na Dini, halafu kama nyote mnapata rizki zenu kila siku huwo Ubaguzi wa kidini una faida gani?
 
Utakufa wewe unayechezewa na wanaume, wanakuzalisha unaishia kuitwa singo maza... Go to hell useless πŸ’© eti kinywa chako kisafi wakati umetoa mimba na unakunywa

Utakufa wewe unayechezewa na wanaume, wanakuzalisha unaishia kuitwa singo maza... Go to hell useless πŸ’© eti kinywa chako kisafi wakati umetoa mimba na unakunywa p2
Kama mama Yako anavyouchezea Sahihi kabisa mpaka ukapatikana wewe, hapo nimekuelewa Anza na mama Yako kwanza
 
Kwa mafundisho yake Sahihi na Njia Sahihi ya kumuabudia Mola wetu mlezi na ni muongozo mzuri katika maisha ya Kila siku.
bado haujajibu swali langu kuwa uislamu ni dini ya haki kivipi? Unapimaje maandiko kuwa ni sahihi niambie umetumia kipimo gani kupima?
 
Kama mama Yako anavyouchezea Sahihi kabisa mpaka ukapatikana wewe, hapo nimekuelewa Anza na mama Yako kwanza
πŸ’©πŸ’© ushazeeka singo maza acha umalaya unafuata watu DM kuwaomba pesa za bia, mtafute aliyekuzalisha akusaidie hata pesa za pedi... Unashinda JF kuomba omba pesa mtu mwenyew umekomaa kama kichuguu..
Maisha umeyachezea mwenyew wakat wanawake wenye akili wapo kazini wew upo kwenu umetelekezwa hujui hata mwanao atakula nini
 
Mama Yako amepata hasara na hamna namna endelea kubwabwaja nakusikiliza
 
bado haujajibu swali langu kuwa uislamu ni dini ya haki kivipi? Unapimaje maandiko kuwa ni sahihi niambie umetumia kipimo gani kupima?
Maadamu unataka majibu unayoyataka wewe basi majibu unayo, Allah anapanga anachotaka si wewe unavyotaka, hivyo fata unavyotaka wewe uache uislam na njia yake safi na si LAZIMA ukubali, nimemalizana na wewe.
 
Haya ndiyo madhara ya kukaririshwa kwasababu umeshindwa hata kujua maana ya neno HAkI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…