Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Habari zenu wadau!
Ikitokea naondoka kwenye chama cha mabaharia na wala bata Tanzania na kusaliti kwa kufanya ufala wa kuoa basi potelea mbali kwanza nitatembea nae vya kutosha, pia ntamfanyia interview na uchunguzi wa maeneo matatu ya msingi nayo ni.
1. Maadili
2. Heshima
3. Ubunifu
Mengine ongezeeni kama yapo. Ndoto za alinacha si nongwa kuzihadithia na kuzisema kinadharia.
Ni hayo tu shukrani 🙏🙏🙏