Nikitaka kuzifanyia kazi green lights zinapotea

Kosa kubwa kwa wanawake wa siku hizi ni kujifanya unamzingatia sana, wewe weka mazingira tu afike gheto, baada ya kufika gheto yeye ndie atakua wa kwanza kukuzingatia wewe.
Mademu wa siku hizi kabla ya kumkula unatakiwa ujitahidi sana kubalance shobo, ma sms ya kila mara bebi umeshakula ndio yanafanya mtu ajione keki ajitenge mbali na wewe.
 
Mwamba kashoboka sana,hawajui mademu mademu wanataka don't care guys
 
Usipolijua hili lazime uteseke na hawa viumbe.
Binafsi nikishamuelewa mrembo hua namfata face to face nitamsifia na kumuonyesha kua nimemuelewa, kinachofata ni kuomba tu namba huku akijua dhamiri yangu ya kutaka namba yake, akinipea tu namba hio ndio green light ya kunikubali, na mambo ya kubebishana huaga sina mpaka nikishakula mzigo ndio kidogo nitaanza kumzingatia.
Demu akishaanza kuleta sitaki nataka hua napiga zangu tu kimya, kama atakua kanielewa basi yeye ndie ataanza kushoboka.
Hivi viumbe ukivipa attention sana ndio kama vile unakua anajiweka mbali navyo.
 
Ukiona green light alafu ukaona she's very beautiful, unakuwa interested and you be like "damn I need this girl" si ndio???
Unaanza kumkubali, unaanza kumpenda , Unaanza kumuelewa, whatever!!
Kinachofata ubongo wako unaandaa strategy ya kumpata, na strategy ya kwanza kabisaa ambayo ni natural ni kuanza kumuonyesha that you love her, hapo unaanza ku- care, texting and phoning her ten times a day, unakuwa mpole, you treat her like queen, you make sure you don't do anything she won't like, you try your best to be close to her and stuffs like that, uh? And hii huwa inakuja automatically! That's a mistake because you start chasing her, unapoteza mvuto unapoteza thamani anaanza kukuona wa kawaida! That's how they are, ukionyesha kuwataka sanaaa wanaenda kule wanapoonekana hawatakwi!
What to do? Ukianza kumuelewa tu, just control your emotions and be as cold as ice! Sometimes take care sometimes just ignore her, ili iwe time yake to chase you!
Be prepared to loose her, kwani don't you know loosing is the part of the game mh?
Okay kuwa rude, cold, not texting her and act like you don't need her at all, alafu sasa sometimes jifanye kama unamtaka hivi kiaina!!!

She gon be yours, man!
 
U nailed it man. Kuna mmoja nilikua namjali sana na nilifanya kusudi nione nikiacha itakuaje? Nilivyoacha kumcheki kama siku mbili ivi nikaona kanitafuta yeye analalama nipo kimya, nikasema hapa safi na safari ikaanzia hapo.
 
Ukiona green light alafu ukaona she's very beautiful, unakuwa interested and you be like "damn I need this girl" si ndio???
Unaanza kumkubali, unaanza kumpenda , Unaanza kumuelewa, whatever!!
Kinachofata ubongo wako unaandaa strategy ya kumpata, na strategy ya kwanza kabisaa ambayo ni natural ni kuanza kumuonyesha that you love her, hapo unaanza ku- care, texting and phoning her ten times a day, unakuwa mpole, you treat her like queen, you make sure you don't do anything she won't like, you try your best to be close to her and stuffs like that, uh? And hii huwa inakuja automatically! That's a mistake because you start chasing her, unapoteza mvuto unapoteza thamani anaanza kukuona wa kawaida! That's how they are, ukionyesha kuwataka sanaaa wanaenda kule wanapoonekana hawatakwi!
What to do? Ukianza kumuelewa tu, just control your emotions and be as cold as ice! Sometimes take care sometimes just ignore her, ili iwe time yake to chase you!
Be prepared to loose her, kwani don't you know loosing is the part of the game mh?
Okay kuwa rude, cold, not texting her and act like you don't need her at all, alafu sasa sometimes jifanye kama unamtaka hivi kiaina!!!

She gon be yours, man!
You're spot on. It's my principle. I've been living with this principle for years. They're the one looking for me, even though I haven't got any money. But they keep on honking and sending text messages.
 
Ukiona green light alafu ukaona she's very beautiful, unakuwa interested and you be like "damn I need this girl" si ndio???
Unaanza kumkubali, unaanza kumpenda , Unaanza kumuelewa, whatever!!
Kinachofata ubongo wako unaandaa strategy ya kumpata, na strategy ya kwanza kabisaa ambayo ni natural ni kuanza kumuonyesha that you love her, hapo unaanza ku- care, texting and phoning her ten times a day, unakuwa mpole, you treat her like queen, you make sure you don't do anything she won't like, you try your best to be close to her and stuffs like that, uh? And hii huwa inakuja automatically! That's a mistake because you start chasing her, unapoteza mvuto unapoteza thamani anaanza kukuona wa kawaida! That's how they are, ukionyesha kuwataka sanaaa wanaenda kule wanapoonekana hawatakwi!
What to do? Ukianza kumuelewa tu, just control your emotions and be as cold as ice! Sometimes take care sometimes just ignore her, ili iwe time yake to chase you!
Be prepared to loose her, kwani don't you know loosing is the part of the game mh?
Okay kuwa rude, cold, not texting her and act like you don't need her at all, alafu sasa sometimes jifanye kama unamtaka hivi kiaina!!!

She gon be yours, man!
Mkuu una hoja aiseee!

Ila haya yote yanawezakana endapo wewe mwanaume sio jobless
 
Back
Top Bottom