Nikitaka kuzifanyia kazi green lights zinapotea

Nikitaka kuzifanyia kazi green lights zinapotea

Mnakosea sana aisee, mnafanya tupoteze marafiki wema sana.
Wanataka wenyewe, mi nipo hivi.. Mfano nikichukua namba tukazoeana nkatuma maombi ni mara chache sana majibu kuwa mazuri ila nikipitia kwenye urafiki wa mbali mambo huwa ni safi kabisa hata sihangaiki kutuma maombi.
 
Usipolijua hili lazime uteseke na hawa viumbe.
Binafsi nikishamuelewa mrembo hua namfata face to face nitamsifia na kumuonyesha kua nimemuelewa, kinachafata ni kuomba tu namba huku akijua dhamiri yangu ya kutaka namba yake, akinipea tu namba hio ndio green light ya kunikubali, na mambo ya kubebishana huaga sina mpaka nikishakula mzigo ndio kidogo nitaanza kumzingatia.
Demu akishaanza kuleta sitaki nataka hua napiga zangu tu kimya, kama atakua kanielewa basi yeye ndie ataanza kushoboka.
Hivi viumbe ukivipa attention sana ndio kama vile unakua anajiweka mbali navyo.
Kumbe ndio walivyo hawa kenge.....dah leo nimepata somo kubwa sana. So wee jidahi huna time nae au sio
 
Usipolijua hili lazime uteseke na hawa viumbe.
Binafsi nikishamuelewa mrembo hua namfata face to face nitamsifia na kumuonyesha kua nimemuelewa, kinachafata ni kuomba tu namba huku akijua dhamiri yangu ya kutaka namba yake, akinipea tu namba hio ndio green light ya kunikubali, na mambo ya kubebishana huaga sina mpaka nikishakula mzigo ndio kidogo nitaanza kumzingatia.
Demu akishaanza kuleta sitaki nataka hua napiga zangu tu kimya, kama atakua kanielewa basi yeye ndie ataanza kushoboka.
Hivi viumbe ukivipa attention sana ndio kama vile unakua anajiweka mbali navyo.
Bravo
 
Kosa kubwa kwa wanawake wa siku hizi ni kujifanya unamzingatia sana, wewe weka mazingira tu afike gheto, baada ya kufika gheto yeye ndie atakua wa kwanza kukuzingatia wewe.
Mademu wa siku hizi kabla ya kumkula unatakiwa ujitahidi sana kubalance shobo, ma sms ya kila mara bebi umeshakula ndio yanafanya mtu ajione keki ajitenge mbali na wewe.
Upo kama mimi mkuu
 
Ukiona green light alafu ukaona she's very beautiful, unakuwa interested and you be like "damn I need this girl" si ndio???
Unaanza kumkubali, unaanza kumpenda , Unaanza kumuelewa, whatever!!
Kinachofata ubongo wako unaandaa strategy ya kumpata, na strategy ya kwanza kabisaa ambayo ni natural ni kuanza kumuonyesha that you love her, hapo unaanza ku- care, texting and phoning her ten times a day, unakuwa mpole, you treat her like queen, you make sure you don't do anything she won't like, you try your best to be close to her and stuffs like that, uh? And hii huwa inakuja automatically! That's a mistake because you start chasing her, unapoteza mvuto unapoteza thamani anaanza kukuona wa kawaida! That's how they are, ukionyesha kuwataka sanaaa wanaenda kule wanapoonekana hawatakwi!
What to do? Ukianza kumuelewa tu, just control your emotions and be as cold as ice! Sometimes take care sometimes just ignore her, ili iwe time yake to chase you!
Be prepared to loose her, kwani don't you know loosing is the part of the game mh?
Okay kuwa rude, cold, not texting her and act like you don't need her at all, alafu sasa sometimes jifanye kama unamtaka hivi kiaina!!!

She gon be yours, man!
Well said
 
Hamna nimeshangaa tu ulivyosema pisi kali ambayo hujawai kuiona kwa miaka mingi
Kweli mkuu hii pisi nimeiona njiani nikiwa nawahi usafiri, kitendo cha kumuona tu muonekano wake na mavazi nilivutiwa nae, nikataka kumsalimia kuna boda akamsimamisha mimi nikawapita spidi.

Nmepanda bajaji nangoja ijae tuondoke nkashtuka pisi inaingia na kunisalimia, nikasema yes nikamuuliza jina na nikampa maua yake ya kutosha. Kuna ke ni wazuri
 
Usipolijua hili lazime uteseke na hawa viumbe.
Binafsi nikishamuelewa mrembo hua namfata face to face nitamsifia na kumuonyesha kua nimemuelewa, kinachafata ni kuomba tu namba huku akijua dhamiri yangu ya kutaka namba yake, akinipea tu namba hio ndio green light ya kunikubali, na mambo ya kubebishana huaga sina mpaka nikishakula mzigo ndio kidogo nitaanza kumzingatia.
Demu akishaanza kuleta sitaki nataka hua napiga zangu tu kimya, kama atakua kanielewa basi yeye ndie ataanza kushoboka.
Hivi viumbe ukivipa attention sana ndio kama vile unakua anajiweka mbali navyo.
100%
Mule mule mkuu, kumuonesha unamuhitaji sana inaweza kukusabishia umkose jumla.
 
Back
Top Bottom