Nikitaka kuzifanyia kazi green lights zinapotea

Mnakosea sana aisee, mnafanya tupoteze marafiki wema sana.
Wanataka wenyewe, mi nipo hivi.. Mfano nikichukua namba tukazoeana nkatuma maombi ni mara chache sana majibu kuwa mazuri ila nikipitia kwenye urafiki wa mbali mambo huwa ni safi kabisa hata sihangaiki kutuma maombi.
 
Kumbe ndio walivyo hawa kenge.....dah leo nimepata somo kubwa sana. So wee jidahi huna time nae au sio
 
Bravo
 
Upo kama mimi mkuu
 
Well said
 
Hamna nimeshangaa tu ulivyosema pisi kali ambayo hujawai kuiona kwa miaka mingi
Kweli mkuu hii pisi nimeiona njiani nikiwa nawahi usafiri, kitendo cha kumuona tu muonekano wake na mavazi nilivutiwa nae, nikataka kumsalimia kuna boda akamsimamisha mimi nikawapita spidi.

Nmepanda bajaji nangoja ijae tuondoke nkashtuka pisi inaingia na kunisalimia, nikasema yes nikamuuliza jina na nikampa maua yake ya kutosha. Kuna ke ni wazuri
 
100%
Mule mule mkuu, kumuonesha unamuhitaji sana inaweza kukusabishia umkose jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…