Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Mi kwa biashara yangu natoa laki 8 halafu naenda kuweka Mil 3 kwenye line tofauti halafu nihamishie sim bank, ikija sual la hela hamna aibu hata 100 Kama inatibu matatizo yako unatoa
Thanks mkuu!
 
Siku moja nilienda kwa wakala niliemzoea nikatoa elfu mbili2000 ye wala hakujali ila wale waliokaa nje pale kupiga zogo ni kama walishangaa na kweli nilipotoka wakaanza kunidis....mdada wakala akawaambia huyo ndo mteja wangu naemtegemea anafanya mialamala mpaka ya milioni tatu kwa siku na kila baada ya siku mbili yupo hapa......usimdharau usiemjua kwan kutoa kiasi flan cha pesa ni maamuzi ya mtu tuu....mi huwa naenda kwa wakala nawek buku kisha najiunga na kifurushi saaafi......
 
Ila kusema kweli mkuu kutoa elf 2 tu ni jambo la aibu sana uliwezaje mkuu halafu wakala ni mdada kabisaa aisee nisingethubutu hilo
 
Ngoja siku ubananishwe utarudi kutusimulia hapa hapa!
 
Hapana mkuu nakubali kubananishwa kupo lakini siwezi kutoa elf 2 tu kwa wakala atleast uwe unatoa kuanzia elf 10 kama umebanwa sana
 
Back
Top Bottom