Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

NMB zamani tulikuwa tunatoa hadi buku
Yes,NMB mwaka 2008 nilitoa buku 2 ikagoma,nikajaribu buku ikakubali!Kumbe salio lilikuwa linasoma 2100!Daah na hapo nilikuwa nimetembea kutoka tumbi hospital mpaka maili moja kibaha!
 
Haha aisee kufulia kubaya
Yes,NMB mwaka 2008 nilitoa buku 2 ikagoma,nikajaribu buku ikakubali!Kumbe salio lilikuwa linasoma 2100!Daah na hapo nilikuwa nimetembea kutoka tumbi hospital mpaka maili moja kibaha!
 
Kunaday nlitoaga buku...... Kwa mdad mzuriii kichwni ananywere z bandiA.... Na hanionei ibu[emoji23][emoji23]
 
Mi kwa biashara yangu natoa laki 8 halafu naenda kuweka Mil 3 kwenye line tofauti halafu nihamishie sim bank, ikija sual la hela hamna aibu hata 100 Kama inatibu matatizo yako unatoa
 
Back
Top Bottom