bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
- Thread starter
-
- #181
Thanks mkuu!Mi kwa biashara yangu natoa laki 8 halafu naenda kuweka Mil 3 kwenye line tofauti halafu nihamishie sim bank, ikija sual la hela hamna aibu hata 100 Kama inatibu matatizo yako unatoa
Ila kusema kweli mkuu kutoa elf 2 tu ni jambo la aibu sana uliwezaje mkuu halafu wakala ni mdada kabisaa aisee nisingethubutu hiloSiku moja nilienda kwa wakala niliemzoea nikatoa elfu mbili2000 ye wala hakujali ila wale waliokaa nje pale kupiga zogo ni kama walishangaa na kweli nilipotoka wakaanza kunidis....mdada wakala akawaambia huyo ndo mteja wangu naemtegemea anafanya mialamala mpaka ya milioni tatu kwa siku na kila baada ya siku mbili yupo hapa......usimdharau usiemjua kwan kutoa kiasi flan cha pesa ni maamuzi ya mtu tuu....mi huwa naenda kwa wakala nawek buku kisha najiunga na kifurushi saaafi......
Ngoja siku ubananishwe utarudi kutusimulia hapa hapa!Ila kusema kweli mkuu kutoa elf 2 tu ni jambo la aibu sana uliwezaje mkuu halafu wakala ni mdada kabisaa aisee nisingethubutu hilo
Hapana mkuu nakubali kubananishwa kupo lakini siwezi kutoa elf 2 tu kwa wakala atleast uwe unatoa kuanzia elf 10 kama umebanwa sanaNgoja siku ubananishwe utarudi kutusimulia hapa hapa!
Mungu atusaidieHapana mkuu nakubali kubananishwa kupo lakini siwezi kutoa elf 2 tu kwa wakala atleast uwe unatoa kuanzia elf 10 kama umebanwa sana
Sasa hivi ushakuwa tajiriMungu atusaidie
Mungu kanibariki ndugu nimshukuru Sana. Nawaombea nawengine awabariki kadri atakavyopendezwa.Sasa hivi ushakuwa tajiri
Happy New yearSasa hivi ushakuwa tajiri
Same to you pacha.Happy New year