Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hapo nakubal kabisa,hicho ni kipaji chako kikubwaUmbea 😹
Tuelewane kwanza, “mmbea ni mtu anayesema ukweli lakini bila ruhusa ya muhusika/wahusika.”
Ahahha unapenda kuzulula acha izo mamboKwenda kwa watu 😄
View attachment 3257857
😹😹😹 nouma sana.!!Hapo nakubal kabisa,hicho ni kipaji chako kikubwa
Wapige waueBangi
Kama hakuna wageni chakula nalia chumban kitandaniDuu! Sasa unakulaje huku ukiwa umelala?
Ndio kwa wakat usiofaaUmbea 😹
Tuelewane kwanza, “mmbea ni mtu anayesema ukweli lakini bila ruhusa ya muhusika/wahusika.”
Ndio vitu gani tujuze hapaMimi kuna vitu niliacha ila baada ya kuwa free nimeamua kuvirudia ingawaje huwa nakumbuka kwamba sio vizur
Umeshindwa kabisa kula kistaarWaliniambia nisiwe mlafi, lakini hadi leo, chakula kikifika mbele yangu kinapotea ghafla.
Duh utazeeka nachoo ikoCha arusha
Hiyo watajua wao, muhimu kutu itoke moyoni😹😹Ndio kwa wakat usiofaa