Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

Kucheza kwenye mvua nikiwa uchi .

Yaani hiki kitu nilikatazwa sana ila nimeshindwa kuacha ndio maana mvua ikinyesha nipo mbali na nyumbani najisikia vibaya sana .

Napenda mvua ikianza kunyesha navua nabaki mimi na abdalla kichwa wazi alafu naingia uwanjani nakuwa nakimbia kimbia mara nikinge maji ,mara nikoshe torori langu kikubwa nifurahie kuwa nimenyeshewa .
 
Ahah hii yako kiboko utakuja upigwe na radi ufe kwa aibu kama kijana aliekufa kisa punyeto
 
Kutumia mkono wa kushoto!
 
Ahah hii yako kiboko utakuja upigwe na radi ufe kwa aibu kama kijana aliekufa kisa punyeto
Kaka itakuwa ndiyo hatma yangu ,maana niliwaza hili nikajichanga nikanunua kizuia radi ,sasa nacho kikishindwa kazi basi itakuwa imepangwa ila ni kitu napenda sana .

Napata shida sana kiangazi uwa inanibidi nichuke mbeseni wa nguo mkubwa nijaze maji niwe nadumbukia na kuruka ruka basi ujihisi nafuu walau ila kikubwa nataka mvua inyeshe alafu iwe inapiga haswa
 
🙌 wew umekuwa affected sana duh
 
Huwa na kawaida ya kula haraka haraka,haijalishi nakula na nani,mgeni naweza mpiga gap akabak anashangaa

Sipendag kutoa salaam ya shikamoo,mpaka upate shikamoo yang mpaka uwe na muvi nyingi na ngozi ya uso iliokunjamana
Hivi hivi utoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…