See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 479
- 1,495
Hapana Ni Mapendo tu Jah Bless upNae anapiga
Hongera zakoHapana Ni Mapendo tu Jah Bless up
Ahaha hivi ina radha gani ase
Hii kitu ndio yenyewe ladha yake haielezeki ina kupeleka juu mawinguni βοΈβοΈβοΈAhaha hivi ina radha gani ase
Duh sijawai waza ata kujaribuHii kitu ndio yenyewe ladha yake haielezeki ina kupeleka juu mawinguni βοΈβοΈβοΈ
KitakulambaNilikatazwa nisipende wachagaπIla Nikiona kishundu cha kichaga tu najikuta na sahau wosia wa marehemu mzazi wangu
Nsionleo sema
Kwanini mzee mwenzangu unasema hivoKitakulamba
Mchaga mbaya sanaKwanini mzee mwenzangu unasema hivo
Wali maharage aisee hiki kitu kimenishinda siwezi kuacha!Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha
Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa
Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala nishakatazwa sana mpaka sasa ila sijaacha je wewe?
But further more kuna watu wa dini fulani wiki moja kabla mzazi wangu hajafariki nilimwambia nimepata mchumba lakini alichukia sana akaniambia Ata kama Nitakuwa chini ya ardhi kamwe usioe watu dini hiyo bahati huwa napata sana wapenz wa dini hiyo hiyo Ila Kila Nikikumbuka lile neno "Ata nikiwa chini ya ardhi usithubutu" π€Mchaga mbaya sana
ππ kipolo sioWali maharage aisee hiki kitu kimenishinda siwezi kuacha!
Mbadirishe dini akufwateBut further more kuna watu wa dini fulani wiki moja kabla mzazi wangu hajafariki nilimwambia nimepata mchumba lakini alichukia sana akaniambia Ata kama Nitakuwa chini ya ardhi kamwe usioe watu dini hiyo bahati huwa napata sana wapenz wa dini hiyo hiyo Ila Kila Nikikumbuka lile neno "Ata nikiwa chini ya ardhi usithubutu" π€
Bro juzi nilifanya hiking milima fulani Morogoro ni kama km 14 kupanda milima na elevations ni kama 1,666 aisee kufika katikati ya mlima nikapata hamu ya wali maharage hata sijui ilitokea wapi!!ππ kipolo sio
Kuna majini hapo walikuwa wanaivishaBro juzi nilifanya hiking milima fulani Morogoro ni kama km 14 kupanda milima na elevations ni kama 1,666 aisee kufika katikati ya mlima nikapata hamu ya wali maharage hata sijui ilitokea wapi!!
Lakini chimbuko ni chimbuko tu mkuu asili haibadiliki man kubadilisha kwako uraia hakuwezi kufanya wewe ukasahau tanzania -Mbadirishe dini akufwate
Tafuta yule mzee alikuambia sisi kaka yetu alikatazwa na mzee mpaka anakufa akajitia bichwa gumu juzi mkee kamshikia kisu mbaya zaidi anataka kuua hadi watotoLakini chimbuko ni chimbuko tu mkuu asili haibadiliki man kubadilisha kwako uraia hakuwezi kufanya wewe ukasahau tanzania -
Infact wengi nakutana nao already mtu ako 24 and above kubadili mtu wa hivi ni kazi mzee