Nikiulizwa napenda kuiona Sura ya nani (Wanawake) hapa JamiiForums kutokana na Kuvutiwa nao / Kunivutia ni hawa Wafuatao tu.....

Nikiulizwa napenda kuiona Sura ya nani (Wanawake) hapa JamiiForums kutokana na Kuvutiwa nao / Kunivutia ni hawa Wafuatao tu.....

sticker.png
 
Mimi natamani kuuona uso wa YESU KRISTO mwokozi wa maisha yangu.
Kwani aliamua kuutoa uhai wake ili mimi na wengine tupate uzima wa milele.
Maana hakuna jina lingine litupasalo kuokolewa nalo zaidi ya YESU KRISTO.

MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.
Amen!
 
Ww uogopii watu wakiombana connection yakooo mkuu baada yakudakwa na mume wa mmoja wapo hapo uliowatajaa
FB_IMG_1723575787716.jpg
 
Back
Top Bottom