Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika na unachosema. Mkuu yesu aliuawa sababu ya kupingana na sheria za wakati huo wala hakuwa mwana wa mungu. Jiulize mungu kwa nn asimuue shetani akubali kumuua yesu ili kuwakomboa watu wa funia hiiMimi natamani kuuona uso wa YESU KRISTO mwokozi wa maisha yangu.
Kwani aliamua kuutoa uhai wake ili mimi na wengine tupate uzima wa milele.
Maana hakuna jina lingine litupasalo kuokolewa nalo zaidi ya YESU KRISTO.
MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.
Amen!
Uhakika ni nao ndio maana nimeandika.Una uhakika na unachosema. Mkuu yesu aliuawa sababu ya kupingana na sheria za wakati huo wala hakuwa mwana wa mungu. Jiulize mungu kwa nn asimuue shetani akubali kumuua yesu ili kuwakomboa watu wa funia hii
Ukijiuliza in 3D utakundua vilivyoandikwa kwenye bibilia ni historia na bitu vya kutunga
Hahahahahao wote ni wanaume