Nikiulizwa napenda kuiona Sura ya nani (Wanawake) hapa JamiiForums kutokana na Kuvutiwa nao / Kunivutia ni hawa Wafuatao tu.....

Una uhakika na unachosema. Mkuu yesu aliuawa sababu ya kupingana na sheria za wakati huo wala hakuwa mwana wa mungu. Jiulize mungu kwa nn asimuue shetani akubali kumuua yesu ili kuwakomboa watu wa funia hii
Ukijiuliza in 3D utakundua vilivyoandikwa kwenye bibilia ni historia na bitu vya kutunga
 
Uhakika ni nao ndio maana nimeandika.
MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDIO JINA LAKE. Isaya 9:6-10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…