Nikivaa hivi ni sawa?

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,287
Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi


Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema

Update
Asanteni nimevaa hivyo hivyo
View attachment 1184439
 
Nguo Nzuri Tatizo Huo Uwazi Utakuondolea Confidence
Chagua Nyingine
Saa Sita Ipo
 
Sio mbaya kama hako kauwazi hakataongezeka zaidi ya kanavyoonekana kwenye picha.
 
Kama hiyo picha ndio wewe haina tatzo, ila kama sio ww inawezekana ukivaa nguo ya namna hiyo isikukae kama ilivyo kwenye hiyo picha.
 
Kama hiyo picha ndio wewe haina tatzo, ila kama sio ww inawezekana ukivaa nguo ya namna hiyo isikukae kama ilivyo kwenye hiyo picha.

Imenikaa hivyo hivyo
Tatizo kiuwazi kimezidi kidogo
 
Kwanza geuka tuone kama nyuma imekukaa vizuri. Hiyo suruali kama inaonyesha mifuko si itaonyesha rangi ya chupi? Au huvai?
 
umefanana Bibi cheka aliyechangamka.
 
Vaaa kimini utatoka poa,chura ionekane
 
Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Daslama bhana! Hiiiiiiiii, si wanaume Wala wanawake 🤣🤣🤣
 
Vaa Nyingine Tuwekee Hapa Hapa Tutoe Michango Kuona Leo Uking'ara Huko Kwenye Tukio
Usisahau PM Yangu Sijaifunga

Oho basi nimevaa hio hio tu hakuna namna
 
Ungeweka na picha yako ndio tungekushauri vizuri,

Usijekuta ngozi limebabuka na kukakamaa halafu uiche wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. joking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…