Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u too dear hivi umepotelea wapi sikuoni [emoji3]
Thanks love [emoji173]️
[emoji3][emoji3][emoji3]Vaa nguo zenye heshima, unavaa mitambala halafu unaenda kukutana na watu waliokuzidi umri, poor you.....
![]()
Daah inanifit kabisa. Ndaga fijo[emoji28][emoji28]nkamu kama inakutosha pitia uichukue hii
Asante
Nakuombea uolewe dada yangu,
😂 😂 😂 😂 😂Daslama bhana! Hiiiiiiiii, si wanaume Wala wanawake 🤣🤣🤣
shida ni pale unakuta watu kadhaa hapo ofisini washapita.Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]