Kama huna kitambi vaa tu....Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi
View attachment 1184235
Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema
First date unatakiwa uvaaje?Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
1st date mdada unatakiwa uvae boshori (mzula)First date unatakiwa uvaaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1st date mdada unatakiwa uvae boshori (mzula)
Picha kabisaa1st date mdada unatakiwa uvae boshori (mzula)
Wenye vitambi tuvae nini?Kama huna kitambi vaa tu....
hii hapaPicha kabisaa
1st date mdada unatakiwa uvae boshori (mzula)
wadada wenye vitambi mvae rubega (shuka la kimasai)Wenye vitambi tuvae nini?
Khaaahii hapa
kama sio kile kitovu rungu ipandishe juu kidogo kituvo kichungulie wapenzi watazamaji.Kitambi cha mbali
Nimevaa hivyo hivyo hakuna namna
Kama first date hapana.
Kama unakwenda kwenye sherehe ya kazini peke yako hapana lakini upo na mume/boyfriend ipo poa tu.
Niwe mkweli hapa kama kazini kwako kuna fisi wakokwe hawatokuwacha salama next week.
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi
View attachment 1184235
Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema
Kwanza geuka tuone kama nyuma imekukaa vizuri. Hiyo suruali kama inaonyesha mifuko si itaonyesha rangi ya chupi? Au huvai?
Lolwadada wenye vitambi mvae rubega (shuka la kimasai)
Kwangu mimi mrembo ni kupendeza tu, maadrii yanguo yashapotea sasa. But umeolewa?Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi
View attachment 1184235
Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema
Hahah tozi unawaza mbali sana mambo hayo hayawezi kutokea
Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi
View attachment 1184235
Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema
Toa uzoefu wako, first date ulivaaje?[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaniiiiiii