Nikivaa hivi ni sawa?

Vaa nguo zenye heshima, unavaa mitambala halafu unaenda kukutana na watu waliokuzidi umri, poor you.....
 
Hata watu wazima wa saivi wanatuelewa vijana tuko zama tofauti na zao ila tatizo ni sisi vijana tunawaogopa wao wakati wao tyari wanatujua kabisa kua mioyo yetu inataka nini.

Vaaa hivyo hivyo usiangalie kulia wala kushoto..wazazi wenyewe wanatuelewa ndio zama zetu hizi so hata usiogope kufkiriwa vinginevyo..we vaa kiheshima usipendeze alafu aje mwenzako avae umini wa maana kitumbo wazi then utaona kama hajasifiwa yeye kapendeza..

Vazi la heshima kbsa hilo alafu unawaza..put it on NENDA
 

Heheh na kweli watu wamevaa hatari hujakosea

Nilifanya maamuzi ya kuvaa hivyo hivyo
 
Kumbe mrembo bado hujaolewa..

Fungua basi PM nije kukusalim tu.
Aisee hata kuvaa uchi we sawa tu?
Ningekuwa nimeolewa hili swali ningemuuliza mr jibu lake lingetosha [emoji1]
 
Mguu wako kwenye avatar na hiyo picha yatosha kwenda kulipa mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…