Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Ama kwa hakika tunayo hasa kaziHiki kitoto soo, wazazi kazi tunayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kwa hakika tunayo hasa kaziHiki kitoto soo, wazazi kazi tunayo.
Hiki kitoto soo, wazazi kazi tunayo.[/QUO.............
.........sio kitoto, kijitoto
Kanawashwa vitu vingine na sio mapaja au makalio.
Ngomosi???
Lulu, jickie huru! Feel free! Kama ni tabia yako ya kugawa utagawa tu hata kama ukivaa nguo ndefu.
By the way, mie naona unapendeza. Sioni ajabu, basi tu tamaa za watu. Hakuna cha biashara matangazo wala nini! Vaa vazi ambalo utajickia comfortable dada.
hv huyu dogo anasoma? kama anasoma yupo level gani maana naona anauza uso tu na anaelekea kuzeeka....
Sure,uhuru wa mtu binafsi lazima uzingatiwe,ili mradi atembei uchiVaa tu nguo fupi usiwashwe mdogo wangu...
mkuu ubarikiwe kwa picha.....[/IMG]![]()