Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

haya ni maajabu ya karne hii...waume kazi kwenu..wazazi mnatupa shida waoaji
 
yani jaman aka kajitoto kameshakuwa kamalaya kakutupa wajameni yani hapa nilipo nimekuta mke wangu ana angalia move yake amecheza na ray yani ni aibu tupu mambo ambayo anafanya kwenye hii move ni aibu sana aifai hata watoto kuiangalia kwa sababu aina maadili yeyote ni umalaya mtupu ako katoto atima yake sijui ni nini ndugu zangu alafu nasikia kamepanga tabata relini pale unaambiwa kwenye kimtaa kinacho ishi ni aibu tupu kanatembea uchi na vivazi vyake vya umalay, huyo mtoto afai
 
attachment.php


msimwite malaya jamani. mimi nijuavyo ukishakuwa na mwanamke au mwanaume zaidi ya mmoja tayari wewe ni malaya, sasa wote mnaomsema Lulu ni malaya wakati nafsi zenu mnajua mna wanawake/wanaume-wapenzi zaidi ya mmoja au pengine wengine wakati fulani mlisha kuwa nao SASA iweje leo Lulu mnamsema eti amekuwa malaya.

kumbuka wakati unamnyooshea mwenzio kidole kuna vidole vitatu vinakunyooshe wewe, hivyo ni bora kumpa ushauri badala ya kumwita malaya
 


dogo acha upuuzi kwanza nenda shule ndo ujianike kwny magazeti​
 
dogo acha upuuzi kwanza nenda shule ndo ujianike kwny magazeti
 
Lulu, jickie huru! Feel free! Kama ni tabia yako ya kugawa utagawa tu hata kama ukivaa nguo ndefu.
By the way, mie naona unapendeza. Sioni ajabu, basi tu tamaa za watu. Hakuna cha biashara matangazo wala nini! Vaa vazi ambalo utajickia comfortable dada.

ushauri gani kwa dogo ww! KUBWA ZMA HOVYO
 
ila nikidhuri........! pamoja na yote mm naweza nikakiweka ndani milele..! ******** haina MAKOMBO
 
Back
Top Bottom