Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

Umenikumbusha kisa Cha ofisa mmoja alikua anafanya kazi bandarini kitengo Cha majahazi kutoka Zanzibar. Hichi kitengo kilikua na pesa Sana kipindi kile mizigo inapitia Zanzibar Kisha kuja Dar na matishari. Huyu ofisa alikua na nyumba yake Kigogo karibu na Randa bar Vyumba sita ndani, viwili uani pamoja na bafu na sehemu ya kupikia na mkaa. Ikumbukwe enzi zile gesi ilitumika uhindini na ushuani tu. Huku kwetu Ni mkaa, kuni na jiko la mchina. Nina Imani witness j hajawahi kutumia jiko la mchina. Tuyaache hayo.
Sasa huyu kibopa a.k.a mwenye nyumba, chumba chake kilikua Cha mbele, kimoja Cha Kati Cha wanawe, vingine vyote vya ndani vya wapangaji. Mie nilipanga Cha uani kipindi hicho Mimi bachela.
Kwenye hii nyumba kina mama, wake za wapangaji walijipangia zamu za kufanya usafi uani na huku nje barazani.
Sasa huyu kibopa kila asubuhi akienda kuoga anachukua dabo cabin mbili tatu. Miaka ile ya 87 dabo kebin (noti ya sh Mia 2) ilikua pesa nyingi (nakumbuka enzi zile nginde / juwata/vijana jazz tulikua tunaingia kwa sh 60 tu.
Mwanamke yoyote zaidi ya mkewe atakayekutwa na kibopa anafanya usafi alfajir kkipindi waume zao wako mskitini, alikua anapewa dabo Kebin 3 yaani Mia 6 na kuambiwa Ni Siri asimwambie mtu. halafu kibopa huyoo anazama bafuni, anaoga akimaliza anavaa na kwenda kazini. Ikawa Sasa ndio mchezo wake Hadi kinamama wakawa wanagombania zamu za usafi.
Waume zao walipogundua kwanini wake zao wanagombania kufanya usafi, kibopa alishatembea na wake za wapangaji wote.
Fuatana na Mimi kujua mwisho wa kibopa.
ITAENDELEA......
 
Ahaaaa usikute ni wewe huyo unamsingizia kibopa
 
Hilo eneo ni Nkuhungu kibandani karibu na bwawa?
 
Hahaha..
Mbona stori fupi tu hiyo, ungemalizia bhana!
 
hahahah, sasa ungeweka na kabanda ka mpesa kakuzugia ndo ungeuwa kabisa. Ungekula zaid ya hapo
 
Nyoooo....!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4]
 
Inflation na iendelee kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…