Nikiwa Kama Mwanasimba, Bado Kuna Shida Msimbazi

Nikiwa Kama Mwanasimba, Bado Kuna Shida Msimbazi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Niseme Wazi Yanga inakuja kuwa na kikosi kizuri Sana, na Niseme wazi kuwa Mayele ndiyo aina ya Washambuliaji wanaohitajika Msimbazi. Yaani katika nafasi tatu anazopata, mbili ni lazima akuadhibu. Hiyo ndiyo maana ya MSHAMBULIAJI.
Simba bado haijawa na kikosi cha kupambana na Yanga na mbaya zaidi siku hadi siku Yanga inazidi kuwa Bora.

Yanga ana asilimia 80 za ku retain UBINGWA wake, Mark my words.

Tatizo kubwa la Simba na hawa wahindi ni UBAHILI . Hivi ni nani aliyeshauri Menejment kumleta yule Mzungu , SSC Is not serious at all.

; tunaviongozi wa hovyo na nina wasiwasi sana na huyu CEO , she might be good kwenye marketing strategy lakini hayupo vyema kwenye ku oversee the overall function of the club na kushauri kulingana na kasi ya soka la sasa. Soka la sasa Sio matangazo ; ni INVESTMENT yaani weka hela na ulete wachezaji wenye UWEZO , africa wapo wengi tu.

Yanga ,’wamemchukua Morison , Aziz K , Mayele alikuwa aende SA , lakini amebakishwa kwa ajili ya kujenga timu. Nina amini Yanga anakwenda kuwa na timu bora snaa.

Simba kazi yao ni kubahatisha bahatisha.... mpaka sasa bado hakuna Mshambuliaji anayeoneka kuwa na uwezo wa kufunga kwenye Impossible angles ....... na Wala katika sajili zao zote, bado hakuna mshambuliaji machachari.

Katika eneo ambalo Simba wanalichukulia poa, ni hili la Mshambuliaji na litawa cost kwenye mechi za kimataifa. Angalia Ahly, pamoja na kuwa timu bora Africa, lakini aliukosa ubingwa: Sasa SSC unataka kufika fainal na mzungu, ha ha , takataka kabisa.

Yule mzungu ni simply Incompetent, I wonder ni nani anayeshauri apangwe.

Simba kuweni Serious, bado mnahitaji ku HEAL, hamjapona. Magoli yaliyofungwa na Mayele ni magoli ya kawaida na kujisahau kwa kwenu ( lack of focus ). Ni ishara pia , mnahitaji bado kujitibu. Simba bado ni wagonjwa..... haya haya Simba yetu .

Pia Beno, bado hana uwezo wa ku oversee na kuwapanga wachezaji wake ....... he is simply incompetent.

Pia Kocha anaonekana ana bahatisha , he is simply incompetent. Na atafungwa sana .

, unamtoaje Chama mapema hivyo ; Boko unamuwekaje nje mbele ya Mzungu !

Simba bado ni wagonjwa
 
Kocha mpumbavu yule kajimaliza mwenyewe, chama kaushikilia mchezo halafu unamtoa, combination ya mkude kanoute imeonesha ku-work properly unamtoa kanoute unaingiza mzamiru, kule pembeni kwa mwenda Israel alishazidiwa hasa baada Morrison kuingia badala umtoe uingize kapombe unatoa macho tu
 
Management inazingua mipango hamna zaidi wanabaatisha, na hivi wamemuacha Morison ndio atatufanyia ziaka hatari. Ligi ikianza kwa ujinga huu wa viongozi tukipigwa mechi moja tu Yanga hatumpati
 
Kuna Yule Mshambuliaji wa Zambia , machachari sana , na alikuja na usajili wa mbwembwe

Naambiwa Eti kocha hamtaki anasema hana uwezo,Surprisingly kamuweka mzungu

Yule kijana wa Zambia anaitwa nani ?

Nashangaa kocha anamkataa ,Na hii ni failure ya Barbar kuchanganya mapenzi na Mo
 
Kuna Yule Mshambuliaji wa Zambia , machachari sana , na alikuja na usajili wa mbwembwe

Naambiwa Eti kocha hamtaki anasema hana uwezo,Surprisingly kamuweka mzungu

Yule kijana wa Zambia anaitwa nani ?

Nashangaa kocha anamkataa ,Na hii ni failure ya Barbar kuchanganya mapenzi na Mo
Sasa phiri na mzungu wake, nani yuko boraaa?? Ila kwa game ya leo kuna makosa fulan ndo yakasababisha. Still tutakua vyedi tyuuh.
 
Kuna Yule Mshambuliaji wa Zambia , machachari sana , na alikuja na usajili wa mbwembwe

Naambiwa Eti kocha hamtaki anasema hana uwezo,Surprisingly kamuweka mzungu

Yule kijana wa Zambia anaitwa nani ?

Nashangaa kocha anamkataa ,Na hii ni failure ya Barbar kuchanganya mapenzi na Mo
Moses Phiri ndo Mzambia tiba ya namba tisa wa asili, lakini kocha kamkataa mapema sana tangia pre-season Misri.
 
Sasa phiri na mzungu wake, nani yuko boraaa?? Ila kwa game ya leo kuna makosa fulan ndo yakasababisha. Still tutakua vyedi tyuuh.

Kwakweli Mimi siamini katika hilo . Timu itakuwa poa endapo we take things serious . Hatuwezi kuwa ni watu wa majaribio kila season . Huyu mzungu anafanyiwa ; kweli simba ni yakuchukua mchezaji na kumfanyia majaribio. Haya ni mapenzi yaliyzidi kati ya Mo na CEO .

Kocha anamkataa Moses Phiri Eti kuwa ni incompetent...... nadhani huyu kocha nae anaunwezo mdogo sana .

Siioni SSC IKIFIKA kokote kwa staili hii. Hakuna miracles kwenye mpira , ni Investment na kuwa serious

Ukitaka kujua SSC is not Serious at all , Na ni kama kuna one man show ndio inatoa maamuzi ya Hovyo na yanafuatishwa...... Muangalie yule mzungu , ndio utajua SIMBA haijawahi kuwa Serious tangu huyu Barba aingie kwenye u CEO
 
Moses Phiri ndo Mzambia tiba ya namba tisa wa asili, lakini kocha kamkataa mapema sana tangia pre-season Misri.

Nimeshangaa sana . Nasikia kocha alitaka kuondoka endapo Phiri atabaki...... it seems like kuna personal issues rather than football .

Unamkataaje Phiri Mwenye Rekodi ....... no something is wrong . Hata ule ushindi wa juzi , I was not even comfortable. Yanga inaimarika day by day , Na kitendo cha Yanga kumuacha Mayele ambaye alitakiwa SA , ni ishara kuwa these people Yanga wapo Serious . Wao Simba kazi ni majaribio Tangu enzi za kina Perfect Chikwende ..... timu kama chama hayupo ni TATIZO ..... and they don’t see hilo ni kama TATIZO . huwezi kuwa so reliable kwa mchezaji mmoja kiasi hicho .... and you can be sure kuwa uongozi wa wanawake ni kujimwambafai maana tayari wanaamini wao ni less.

Ni mambo hovyo!
 
Kwa hyo kila siku mnataka mshinde nyie tu.
Na wao Wana MUNGU.
Kikubwa tujipange kwa ligi.ndio mpira
 
Back
Top Bottom