Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Niseme Wazi Yanga inakuja kuwa na kikosi kizuri Sana, na Niseme wazi kuwa Mayele ndiyo aina ya Washambuliaji wanaohitajika Msimbazi. Yaani katika nafasi tatu anazopata, mbili ni lazima akuadhibu. Hiyo ndiyo maana ya MSHAMBULIAJI.
Simba bado haijawa na kikosi cha kupambana na Yanga na mbaya zaidi siku hadi siku Yanga inazidi kuwa Bora.
Yanga ana asilimia 80 za ku retain UBINGWA wake, Mark my words.
Tatizo kubwa la Simba na hawa wahindi ni UBAHILI . Hivi ni nani aliyeshauri Menejment kumleta yule Mzungu , SSC Is not serious at all.
; tunaviongozi wa hovyo na nina wasiwasi sana na huyu CEO , she might be good kwenye marketing strategy lakini hayupo vyema kwenye ku oversee the overall function of the club na kushauri kulingana na kasi ya soka la sasa. Soka la sasa Sio matangazo ; ni INVESTMENT yaani weka hela na ulete wachezaji wenye UWEZO , africa wapo wengi tu.
Yanga ,’wamemchukua Morison , Aziz K , Mayele alikuwa aende SA , lakini amebakishwa kwa ajili ya kujenga timu. Nina amini Yanga anakwenda kuwa na timu bora snaa.
Simba kazi yao ni kubahatisha bahatisha.... mpaka sasa bado hakuna Mshambuliaji anayeoneka kuwa na uwezo wa kufunga kwenye Impossible angles ....... na Wala katika sajili zao zote, bado hakuna mshambuliaji machachari.
Katika eneo ambalo Simba wanalichukulia poa, ni hili la Mshambuliaji na litawa cost kwenye mechi za kimataifa. Angalia Ahly, pamoja na kuwa timu bora Africa, lakini aliukosa ubingwa: Sasa SSC unataka kufika fainal na mzungu, ha ha , takataka kabisa.
Yule mzungu ni simply Incompetent, I wonder ni nani anayeshauri apangwe.
Simba kuweni Serious, bado mnahitaji ku HEAL, hamjapona. Magoli yaliyofungwa na Mayele ni magoli ya kawaida na kujisahau kwa kwenu ( lack of focus ). Ni ishara pia , mnahitaji bado kujitibu. Simba bado ni wagonjwa..... haya haya Simba yetu .
Pia Beno, bado hana uwezo wa ku oversee na kuwapanga wachezaji wake ....... he is simply incompetent.
Pia Kocha anaonekana ana bahatisha , he is simply incompetent. Na atafungwa sana .
, unamtoaje Chama mapema hivyo ; Boko unamuwekaje nje mbele ya Mzungu !
Simba bado ni wagonjwa