Nikiwa Kama Mwanasimba, Bado Kuna Shida Msimbazi

Nikiwa Kama Mwanasimba, Bado Kuna Shida Msimbazi

Kwakweli Mimi siamini katika hilo . Timu itakuwa poa endapo we take things serious . Hatuwezi kuwa ni watu wa majaribio kila season . Huyu mzungu anafanyiwa ; kweli simba ni yakuchukua mchezaji na kumfanyia majaribio. Haya ni mapenzi yaliyzidi kati ya Mo na CEO .

Kocha anamkataa Moses Phiri Eti kuwa ni incompetent...... nadhani huyu kocha nae anaunwezo mdogo sana .

Siioni SSC IKIFIKA kokote kwa staili hii. Hakuna miracles kwenye mpira , ni Investment na kuwa serious

Ukitaka kujua SSC is not Serious at all , Na ni kama kuna one man show ndio inatoa maamuzi ya Hovyo na yanafuatishwa...... Muangalie yule mzungu , ndio utajua SIMBA haijawahi kuwa Serious tangu huyu Barba aingie kwenye u CEO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha tusubiri kuona msimu.
 
Kocha ni mjinga tu hajui soka la bongo, narudia tena wanasimba wengi walilalamika baada ya kuona kikosi
Screenshot_20220813-183304.png
 
Wameanza kutafuta mchawi nani 🤣
😃😃😃 Tunaziona rangi zao halisi sasa. Hawa watoto wa Karia mdomo umewaponza. Walijiona wakuuuuubwa kama mlima Kilimanjaro kumbe ni vitunguu tu masikini 😃😃
 
Kocha mpumbavu yule kajimaliza mwenyewe, chama kaushikilia mchezo halafu unamtoa, combination ya mkude kanoute imeonesha ku-work properly unamtoa kanoute unaingiza mzamiru, kule pembeni kwa mwenda Israel alishazidiwa hasa baada Morrison kuingia badala umtoe uingize kapombe unatoa macho tu
Sub zake zimeigharimu timu
 
Simba wakiulizwa ni kwa nini huwa wanafungwa na Yanga kila siku👇😁😁😁
 
Shida yenu mkifungwa na yanga mtalaumu kila kitu..... Yaani unasema mzungu sio afu unasuggest aingie boko

Aah aah thimba bhaaaa,


Jifunzen kusajili, chama yupo vizuur unaenda kutafuta teena mbadala wake ndio nini sasa, onyango sio mbaya unaenda tafuta teena mbadala wake.....,
 
Management inazingua mipango hamna zaidi wanabaatisha, na hivi wamemuacha Morison ndio atatufanyia ziaka hatari. Ligi ikianza kwa ujinga huu wa viongozi tukipigwa mechi moja tu Yanga hatumpati
Huyo morison atatusumbua sana.
 
Mzingu sio wakulaumiwa kwasababu hakupata mipira ya maana na ndo mechi yake ya kwanza yakimashindano.Tatizo lilianzia kiungo ya juu alipotoka chama.angalau kidogo kipindi cha kwanza alipokuwepo chama mipira ilikua inasambazwa kwa sako na kibu ila ata habibu kiombo hakupata chance za maana.kwahiyo tusimlaumu mzungu.Wakulaumiwa ni bench la ufundi kwakushindwa kuona mapungufu ya timu nakuyafanyia kazi.Ngoja tuwape muda ligi ianze tuone wataimarikaje.
 
Back
Top Bottom