Kwakweli Mimi siamini katika hilo . Timu itakuwa poa endapo we take things serious . Hatuwezi kuwa ni watu wa majaribio kila season . Huyu mzungu anafanyiwa ; kweli simba ni yakuchukua mchezaji na kumfanyia majaribio. Haya ni mapenzi yaliyzidi kati ya Mo na CEO .
Kocha anamkataa Moses Phiri Eti kuwa ni incompetent...... nadhani huyu kocha nae anaunwezo mdogo sana .
Siioni SSC IKIFIKA kokote kwa staili hii. Hakuna miracles kwenye mpira , ni Investment na kuwa serious
Ukitaka kujua SSC is not Serious at all , Na ni kama kuna one man show ndio inatoa maamuzi ya Hovyo na yanafuatishwa...... Muangalie yule mzungu , ndio utajua SIMBA haijawahi kuwa Serious tangu huyu Barba aingie kwenye u CEO