Nikiwa Kama Mwanasimba, Bado Kuna Shida Msimbazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha tusubiri kuona msimu.
 
Wameanza kutafuta mchawi nani 🀣
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Tunaziona rangi zao halisi sasa. Hawa watoto wa Karia mdomo umewaponza. Walijiona wakuuuuubwa kama mlima Kilimanjaro kumbe ni vitunguu tu masikini πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sub zake zimeigharimu timu
 
Simba wakiulizwa ni kwa nini huwa wanafungwa na Yanga kila sikuπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Shida yenu mkifungwa na yanga mtalaumu kila kitu..... Yaani unasema mzungu sio afu unasuggest aingie boko

Aah aah thimba bhaaaa,


Jifunzen kusajili, chama yupo vizuur unaenda kutafuta teena mbadala wake ndio nini sasa, onyango sio mbaya unaenda tafuta teena mbadala wake.....,
 
Management inazingua mipango hamna zaidi wanabaatisha, na hivi wamemuacha Morison ndio atatufanyia ziaka hatari. Ligi ikianza kwa ujinga huu wa viongozi tukipigwa mechi moja tu Yanga hatumpati
Huyo morison atatusumbua sana.
 
Mzingu sio wakulaumiwa kwasababu hakupata mipira ya maana na ndo mechi yake ya kwanza yakimashindano.Tatizo lilianzia kiungo ya juu alipotoka chama.angalau kidogo kipindi cha kwanza alipokuwepo chama mipira ilikua inasambazwa kwa sako na kibu ila ata habibu kiombo hakupata chance za maana.kwahiyo tusimlaumu mzungu.Wakulaumiwa ni bench la ufundi kwakushindwa kuona mapungufu ya timu nakuyafanyia kazi.Ngoja tuwape muda ligi ianze tuone wataimarikaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…