makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
Huyo Burkina Faso ni mtu hatari mnooooo.Ni kweli katika Wimbo huo Lead Guitar la Solo alipiga Alain Makaba 'Prense' na Second Guitar alipiga Burkinafaso Mbokaliya.
Je anamuweza logaloga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Burkina Faso ni mtu hatari mnooooo.Ni kweli katika Wimbo huo Lead Guitar la Solo alipiga Alain Makaba 'Prense' na Second Guitar alipiga Burkinafaso Mbokaliya.
Roga Roga Mwenyewe ambaye Jina lake halisi ni Ibambi Ikombi ameanza kujifunza Kupiga Gitaa la Solo wakati Burkinafaso Mbokaliya akiwa 'on Fire' na huyu ni Mwalimu wake katika Fani.Huyo Burkina Faso ni mtu hatari mnooooo.
Je anamuweza logaloga?
Haya mliokuwa mnataka kumjua Alain Makaba alivyo balaa kwa Kupiga Solo Gitaa pamoja na Burkinafaso Mbokaliya hebu usikilizeni huu Wimbo wa No Comment Shengen kwa Makaba alipiga Solo namba Moja na Mbokaliya alipiga Solo namba Mbili.Hapa nilipo nassikiliza kitu laiiiiiini NO COMMENT SHENGEN hakika WENGE ilikuwa moto wa Gesi.
Sjui watu Wabad kama akina Kitshindja walienda wapi khaaaa?
Wenge Chali
Extra Music Chali
G 7 chali
Kwakweli music wa hizo bendi ulikuwa unasuuza moyo.
Wimbo huu ( huo ) wa Pentagone ndiyo ulimtambulisha rasmi Bingwa wa Kurapu ( Atalaku ) na Mwalimu wa Marepa ( Atalakus ) Wengi Congo DR aitwae Tutu Calugi ( Yombo Lumbu ) na ukitaka umsikie Calugi alivyo hatari kwa Kughani ( Kurapu ) msikilize katika Nyimbo za Etepe Buengo, Filandu na Coco Madimba zilizopo katika Album ya Pentagone ambayo ndiyo iliuza sana na mno mpaka ikawa ndiyo Chanzo Kikuu hasa cha Kusambaratika Kwao.Tuko sambamba mkuu ila nasikitika tu kusema moja ya nyimbo zangu pendwa "Pentagon" siioni HAPA
Ule wimbo wa Djojo Ngonda huwa naupenda sana!Wimbo huu ( huo ) wa Pentagone ndiyo ulimtambulisha rasmi Bingwa wa Kurapu ( Atalaku ) na Mwalimu wa Marepa ( Atalakus ) Wengi Congo DR aitwae Tutu Calugi ( Yombo Lumbu ) na ukitaka umsikie Calugi alivyo hatari kwa Kughani ( Kurapu ) msikilize katika Nyimbo za Etepe Buengo, Filandu na Coco Madimba zilizopo katika Album ya Pentagone ambayo ndiyo iliuza sana na mno mpaka ikawa ndiyo Chanzo Kikuu hasa cha Kusambaratika Kwao.
PentagonBCBG for life, taja nyimbo zote lakini Kama hakuna Kalayi Boeing hiyo siyo Wenge ni Mawenge.
Na ni Wimbo mtamu zaidi ukipigwa Live ( Mubashara ) huku ukimuona Rapa ( Atalaku ) Kiongozi wa sasa Wenge BCBG Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ) pamoja na Wasaidizi wake akina Fusee De Gaire, Pajo na Bin Laden Wakighani ( Wakirapu ) kwa kubadilishana na 'Wakiserebuka' kwa Ufundi zaidi.Ule wimbo wa Djojo Ngonda huwa naupenda sana!
Ahsante, Shukran na tupo pamoja sana.Huwa nafurahi sana nikiona nyuzi zako mkuu nipo very interested na uhalisishaji wako wa taarifa
Dah mkuu umemsahau kimbangu solo umemsahau wapi?yan waweza kusikiza tu ile gitaa peke yake na ukalizika mtafute youtube,alikuwa kwa werrahRoga Roga Mwenyewe ambaye Jina lake halisi ni Ibambi Ikombi ameanza kujifunza Kupiga Gitaa la Solo wakati Burkinafaso Mbokaliya akiwa 'on Fire' na huyu ni Mwalimu wake katika Fani.
Roga Roga unaweza Kumshindanisha tu Wapiga Gitaa la Solo kama akina Flam Kapaya wa Wenge Maison Mere ya Werrason, Ramazani Fulutuni wa Quarter Latin yake Koffi Olomide, Pitchou Concorde wa Bendi ya Felix Wazekwa na Schevchenko Patou wa Bendi yake JB Mpiana ya Wenge BCBG.
Watu sahihi tu wa Kuwafananisha au Kuwashindanisha na Burkinafaso Mbokaliya katika Upigaji mahiri wa Gitaa la Solo ni Diblo Dibala, Dally Kimoko, Beniko, Cain Madoka, Alain Makaba, Mitre Ficarre Mwamba, Dilu Dilumona na Nene Tchacou.
Congo DR nzima Bingwa wa Live Shows ni JB Mpiana na Bendi yake Wenge BCBG ambayo huko Congo DR kwa Umahiri wake imepachikwa Jina la Utani la Le Equipe Nationale ( yaani Timu ya Taifa )Mimi werrasoni dam dam ,ngoja niwaone mnavyotililika wazee wa jb mzee wa kupotea,
Yaan yeye abadiliki bado anapiga melody zilezile za zamani
Ndo hapo palipo mpoteza kama blaze bula
Hivi Tutu Caludgi yupo wapi kwa sasa? Jamaa alikua na kipaji halisi kabisa ambacho kwa sasa wengi hawana hata Fabrigas hajafikaKatika hizo Nyimbo za Masuwa na Ndombolo ndipo Watu waliujua Uwezo mkubwa wa Kughani au Kurapu ( Wakongo wanaita Atalaku ) aliokuwa kuwa nao Mwalimu wa Marepa ( Atalaku ) wa Kizazi cha Pili aitwae Tutu Calugi ( jina Kamili Yombo Lumbu ) kwani alizinogesha vilivyo hizi Nyimbo.
Najivunia Kuipenda Wenge BCBG Mkuu.
Tutu Calugi ( kwa Utani huitwa Kalundjiste ) kutokana na kwamba alianzisha Shule yake ya Kuwafundisha Watu Kughani ( Kurapu ) huko Congo DR sasa yuko nchini Ufaransa akiwa amejikita zaidi katika Ulokole na Dini kama alivyofanya aliyekuwa Mpiga Gitaa la Solo wa Wenge BCBG Schevchenko Patou Solo ( aliyepiga vyema kabisa katika Album ya Kipe Ya Yo ) ambaye nae kwa sasa amekuwa Mlokole na anaimba na Kupiga Makanisani huko Ufaransa akishirikiana na Mkewe.Hivi Tutu Caludgi yupo wapi kwa sasa? Jamaa alikua na kipaji halisi kabisa ambacho kwa sasa wengi hawana hata Fabrigas hajafika
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Daaa ile shughuli si ya kitoto ndio Mana hadi makoo huwa yanaleta shida. Mungu amtendee vema!Alikuwa akiitwa Roberto Wunda Enkokota ila sasa anaumwa Saratani ( Cancer ) ya Koo na yuko nchini Ufaransa.
Baada ya tatizo lake hilo nafasi yake ndiyo ilikuja Kuzibwa vyema na Tutu Calugi ( Yombo Lumbu ) ambaye ndiyo Mwalimu wa Marapa ( Atalakus ) wengi wa Bendi za Congo DR kama vile Theo Mbala ( aliyerapu kwa Aurlus Mabele, Madilu System na Bozi Boziana ), Celeo Mozami Muviu ( aliyerapu na Werrason katika Bendi yake ya Wenge Maison Mere ) na Fusee De Gaire ambaye sasa anarapu na JB Mpiana katika Bendi yake ya Wenge BCBG akichukua nafasi ya Rapa ( Atalaku ) Marehemu Cellulaire ( Faustin Nzinga Yankobo ) akisaidiana na Atalaku ( Rapa ) Mkuu wa Wenge BCBG aitwae GENTAMYCINE ( Pitshou Lisimo ) pamoja na akina Pajo na Bin Laden.
Niliwahi kugoogle lakini sikuona taarifa zake za kutosha,Tutu Calugi ( kwa Utani huitwa Kalundjiste ) kutokana na kwamba alianzisha Shule yake ya Kuwafundisha Watu Kughani ( Kurapu ) huko Congo DR sasa yuko nchini Ufaransa akiwa amejikita zaidi katika Ulokole na Dini kama alivyofanya aliyekuwa Mpiga Gitaa la Solo wa Wenge BCBG Schevchenko Patou Solo ( aliyepiga vyema kabisa katika Album ya Kipe Ya Yo ) ambaye nae kwa sasa amekuwa Mlokole na anaimba na Kupiga Makanisani huko Ufaransa akishirikiana na Mkewe.
Moja ya Marapa ( Atalakus ) ambao walipitia katika Shule binafsi ya Tutu Calugi ( Kalundjiste ) ni Mukeba Kalondji ( Bill Clinton ), Eyale Kalondji ( KEROZENE ), Theo Mbala, Celeo Mozami Muviu, Fusee De Gaire na Zaparo ambaye kwa sasa ndiyo Rapa ( Atalaku ) mahiri wa Bendi ya Extra Musica Zangul yake Roga Roga ( Ibambi Ikombi )