Nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu.

Wakati mwingine huwa nafanya kuahirisha kwa sababu mwenza wangu anakuwa kashafika kileleni na kachoka hatari. Kile cha kwanza hutoka kawaida ndani ya muda mfupi. Sasa hili bao la pili ndo huwa linachukua muda mrefu kiasi kwamba huwa naona sio hali ya kawaida. Mfano leo nimebadili style kama 3 ila haikusaidia ikabidi niahirishe. Mwenza wangu alioga na kulala mchana wote.

Binafsi huwa situmii madawa ya kuongeza nguvu. Wala sili chochote kinachoshauriwa na wanaharakati wa afya ili kuongeza nguvu. Vitu kama tangawizi, kitunguu swaumu, tikiti nk. Ila huwa nafanya mazoezi ya kukimbia, kutembea, kegel na ya kuondoa tumbo. Je, hii hali ni ya kawaida au kuna tatizo?
 
Punguza ku imagine na kuvuta hisia upo na Zuchu au Poshy Queen kumbe upo na Ester wako kitandani..[emoji2958]

Au mwenza wako ana ka bwawa nini ukute unaogelea tu ila unajikaza kimtindo [emoji1][emoji1]
 
We unashangaa goli la pili kutokutoka? Wenzio hata goli la kwanza halitoki ila mashine inasimama vema tu, unachoka kumpampu na mwenzi naye kachoka baada ya kufika kileleni, inabidi uhairishe mechi tu maana mwenzi naye anaona unamchosha tu. Kikubwa mashine isimame na ipampu vema isilegee. Mambo ya kupiga magoli yanatokana na shibe, umekula virutubisho gani vinavyochochea magoli
 
Majibu yaliyonyooka kwa jf ya mwaka gani hiyo na watoto wa secondary saivi wako likizo
 
Punguza ku imagine na kuvuta hisia upo na Zuchu au Poshy Queen kumbe upo na Ester wako kitandani..[emoji2958]

Au mwenza wako ana ka bwawa nini ukute unaogelea tu ila unajikaza kimtindo [emoji1][emoji1]
Sawa
 
We unashangaa goli la pili kutokutoka? Wenzio hata goli la kwanza halitoki ila mashine inasimama vema tu, unachoka kumpampu na mwenzi naye kachoka baada ya kufika kileleni, inabidi uhairishe mechi tu maana mwenzi naye anaona unamchosha tu. Kikubwa mashine isimame na ipampu vema isilegee. Mambo ya kupiga magoli yanatokana na shibe, umekula virutubisho gani vinavyochochea magoli
Sawa mkuu
 
Hiyo kawaida tu Bora ww linachelewa asa Kuna wengine halitoki kabisa .Life goes on
 
We unashangaa goli la pili kutokutoka? Wenzio hata goli la kwanza halitoki ila mashine inasimama vema tu, unachoka kumpampu na mwenzi naye kachoka baada ya kufika kileleni, inabidi uhairishe mechi tu maana mwenzi naye anaona unamchosha tu. Kikubwa mashine isimame na ipampu vema isilegee. Mambo ya kupiga magoli yanatokana na shibe, umekula virutubisho gani vinavyochochea magoli
Ikipita dakka 15 bado una pump tu mkuu kuna kuchoka naachaga tu
 
Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu.

Wakati mwingine huwa nafanya kuahirisha kwa sababu mwenza wangu anakuwa kashafika kileleni na kachoka hatari. Kile cha kwanza hutoka kawaida ndani ya muda mfupi. Sasa hili bao la pili ndo huwa linachukua muda mrefu kiasi kwamba huwa naona sio hali ya kawaida. Mfano leo nimebadili style kama 3 ila haikusaidia ikabidi niahirishe. Mwenza wangu alioga na kulala mchana wote.

Binafsi huwa situmii madawa ya kuongeza nguvu. Wala sili chochote kinachoshauriwa na wanaharakati wa afya ili kuongeza nguvu. Vitu kama tangawizi, kitunguu swaumu, tikiti nk. Ila huwa nafanya mazoezi ya kukimbia, kutembea, kegel na ya kuondoa tumbo. Je, hii hali ni ya kawaida au kuna tatizo?
Unakuwa umelazimishwa?
 
Back
Top Bottom