Nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu

Nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu

Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu.

Wakati mwingine huwa nafanya kuahirisha kwa sababu mwenza wangu anakuwa kashafika kileleni na kachoka hatari. Kile cha kwanza hutoka kawaida ndani ya muda mfupi. Sasa hili bao la pili ndo huwa linachukua muda mrefu kiasi kwamba huwa naona sio hali ya kawaida. Mfano leo nimebadili style kama 3 ila haikusaidia ikabidi niahirishe. Mwenza wangu alioga na kulala mchana wote.

Binafsi huwa situmii madawa ya kuongeza nguvu. Wala sili chochote kinachoshauriwa na wanaharakati wa afya ili kuongeza nguvu. Vitu kama tangawizi, kitunguu swaumu, tikiti nk. Ila huwa nafanya mazoezi ya kukimbia, kutembea, kegel na ya kuondoa tumbo. Je, hii hali ni ya kawaida au kuna tatizo?
Wenzio mbona tunakojoa Hadi Mara Saba ndani ya usiku mmoja. Kama unabisha kamuulize yule dadaM
 
Back
Top Bottom