Punguza ku imagine na kuvuta hisia upo na Zuchu au Poshy Queen kumbe upo na Ester wako kitandani..[emoji2958]Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu.
Wakati mwingine huwa nafanya kuahirisha kwa sababu mwenza wangu anakuwa kashafika kileleni na kachoka hatari. Kile cha kwanza hutoka kawaida ndani ya muda mfupi. Sasa hili bao la pili ndo huwa linachukua muda mrefu kiasi kwamba huwa naona sio hali ya kawaida. Mfano leo nimebadili style kama 3 ila haikusaidia ikabidi niahirishe. Mwenza wangu alioga na kulala mchana wote.
Binafsi huwa situmii madawa ya kuongeza nguvu. Wala sili chochote kinachoshauriwa na wanaharakati wa afya ili kuongeza nguvu. Vitu kama tangawizi, kitunguu swaumu, tikiti nk. Ila huwa nafanya mazoezi ya kukimbia, kutembea, kegel na ya kuondoa tumbo. Je, hii hali ni ya kawaida au kuna tatizo?
SawaPunguza ku imagine na kuvuta hisia upo na Zuchu au Poshy Queen kumbe upo na Ester wako kitandani..[emoji2958]
Au mwenza wako ana ka bwawa nini ukute unaogelea tu ila unajikaza kimtindo [emoji1][emoji1]
Sawa mkuuWe unashangaa goli la pili kutokutoka? Wenzio hata goli la kwanza halitoki ila mashine inasimama vema tu, unachoka kumpampu na mwenzi naye kachoka baada ya kufika kileleni, inabidi uhairishe mechi tu maana mwenzi naye anaona unamchosha tu. Kikubwa mashine isimame na ipampu vema isilegee. Mambo ya kupiga magoli yanatokana na shibe, umekula virutubisho gani vinavyochochea magoli
Sawa mkuuHaya kengez wa jf watakuja kuonja de liboloz hilo. Wapelekee moto kweli kweli
Kura ni haki yakono reform no election
Ikipita dakka 15 bado una pump tu mkuu kuna kuchoka naachaga tuWe unashangaa goli la pili kutokutoka? Wenzio hata goli la kwanza halitoki ila mashine inasimama vema tu, unachoka kumpampu na mwenzi naye kachoka baada ya kufika kileleni, inabidi uhairishe mechi tu maana mwenzi naye anaona unamchosha tu. Kikubwa mashine isimame na ipampu vema isilegee. Mambo ya kupiga magoli yanatokana na shibe, umekula virutubisho gani vinavyochochea magoli
Unakuwa umelazimishwa?Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao la pili linachukua muda mrefu mno kiasi cha kunitia hofu.