ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii couple kiukweli naionea gere Sana couple Bora kabisa toka JF ianze inafanya vizuri Kama ile ya nifah na mume wake mzee wa ma story.nataka kwanza niwe na mpenzi Kama mahondaw yaani full Raha mwanamke mjanja halafu hamchoki mchizi smart 911..afu wenyewe hawajui chuki na madiss wenyewe full kushow malove kwa Wana.nawapenda Sana endeleeni hivyo hivyo.