Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechagua fungu lililo jema kabisa
Unamsumbuaga smart nini?Wataachana tu!!!
Mkuu utafanya mabazazi waongozane mtamaa wa pm yake wakajaribu kurusha nondo kwa huyu kimwanaSiwezi toa siri ya kambi... na siwezi post chura yake humu... ila jua tuu sketi fupi akivaa inapanda juu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Cc: mahondaw
Bila picha mkuu???Hii couple kiukweli naionea gere Sana couple Bora kabisa toka JF ianze inafanya vizuri Kama ile ya nifah na mume wake mzee wa ma story.nataka kwanza niwe na mpenzi Kama mahondaw yaani full Raha mwanamke mjanja halafu hamchoki mchizi smart 911..afu wenyewe hawajui chuki na madiss wenyewe full kushow malove kwa Wana.nawapenda Sana endeleeni hivyo hivyo.