Nikiwa mkubwa nataka Kuwa Kama smart911 na mahondaw wake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke joanah nimekosea Mimi kabanga Ni baba yetu moja ya ma alwatan wa Jf sema siku hizi kapoa Sana lakini tunaishi naye sawa
 

Inapendeza sana...

Ukinipenda nitakupenda, ukinichukia nitaendelea kukupenda, wala sitakuchukia...

Ukiwa open na mtu wako na mkaheshimiana ila siyo kuogopana mambo siku zote huenda barabara...

πŸ™ πŸ™ πŸ™ πŸ™ πŸ™ πŸ™

Cc: mahondaw
 
Hongera Smart911 na mahondaw wako kua kioo cha jamii forum
 
Nikiwa mkubwa napenda kuwa kama Mohamed Said na FaizaFoxy wake

Jaaamani hadi rahaaa mbona ntanenepaa mie..!
 



Thanks sweetheart ..you and I forever and ever..
Also Special thanks to ndege JOHN jaman nashukuru Sana ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…