Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Hahaha hii ID naipataSijui wa yoyote yule labda ya Kanyela mumo.
Wanatumia neno "mitandaoni".Huku mitaani ata wakiongelea mitandao watataja yote ila JF hawataji japo inawatumiaji wengi tu
Hahah! Itakua hivyo mkuuWanatumia neno "mitandaoni".
Ukisikia nimeona "mitandaoni" bila kutaja mtandao husika ujue ni jf
Wewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.Kuna wengi wananijua na wanajua natumia JF maana sina wasi na sioni sababu kujificha kiivyo kwa watu wangu wa karibu
Kujitia presha tu
Kama mie nimeificha app yake na huwa siifungui mbele za watu.Jf ina heshima yakeHuku mitaani ata wakiongelea mitandao watataja yote ila JF hawataji japo inawatumiaji wengi tu
Me pia niliwahi safir na mtu sit 1nikaona anaifungua.Ila sikujua ni nani, kidogo nianze muuliza hii ni nn Kwa makusudi ili nimjue ni nani ID yakeTangu niijue jf niwatu watano tu ndiyo niliwashuhudia wakisoma habari jamii forums
Ila majina yao sikufanikiwa kuyajua
Isipokuwa mimi tu ndo unaniogopaWewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.
Sina jambo la kuigiza au kuogopa JF bado. Na hata wanaonijua nje ya JF kupitia JF wanajua siogopi kujulikana natumia JF.
Kama ni kweli mbona umeinama tusione iyo baby face; Fanya kuinuka ebuWewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.
Sina jambo la kuigiza au kuogopa JF bado. Na hata wanaonijua nje ya JF kupitia JF wanajua siogopi kujulikana natumia JF.
Hahah! Umekua ni mtandao nyetiKama mie nimeificha app yake na huwa siifungui mbele za watu.Jf ina heshima yake
Kuna mtu ananiheshimu kisa jf mkuu.Yani kuwa tu member humu Kwa miaka kadhaa ananiogopa.Na yeye anaogopa sn kujiungaHahah! Umekua ni mtandao nyeti