Nikiwa mtaani nitamjuaje mtu kuwa huyu ni member wa JF. Naombeni dalili!

Nikiwa mtaani nitamjuaje mtu kuwa huyu ni member wa JF. Naombeni dalili!

Kama miaka minne iliyopita nilikuwa namsomea dada yangu baadhi ya post za humu Jf (ni shabiki wa siasa kindakindaki) akaniuliza humu unatumia jina gani nikamtajia, akacheka sana Sasa siku hizi amekomaa anataka anunue smatfon madai yake anapitwa sana na nina mpango wa kumfungulia I'd humu nafikiria sijui anakumbuka I'd niliyomtajia???
 
Yaan uhalisia n kuwa wanajf tuko huku mtaani na maisha yetu wengi n magumu kama yalivyo yawatz wengine......daladala n usafiri wetu kwa 80% ya jf members.....half wengi tumepanga....ila uzur jf users wengi tuko town.
 
Kuna jamaa angu oficn kila akiona nimeingia JF anajidai anasogelea kompyuta yangu kuniuliza vitu...au utasikia naomba nitumie kompyuta yako mara moja...nawahi ku-log out

Swali ni Je inasaidia Nini??
 
Kuna wengi wananijua na wanajua natumia JF maana sina wasi na sioni sababu kujificha kiivyo kwa watu wangu wa karibu

Kujitia presha tu
Wewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.
Sina jambo la kuigiza au kuogopa JF bado. Na hata wanaonijua nje ya JF kupitia JF wanajua siogopi kujulikana natumia JF.
 
Tangu niijue jf niwatu watano tu ndiyo niliwashuhudia wakisoma habari jamii forums
Ila majina yao sikufanikiwa kuyajua
Me pia niliwahi safir na mtu sit 1nikaona anaifungua.Ila sikujua ni nani, kidogo nianze muuliza hii ni nn Kwa makusudi ili nimjue ni nani ID yake
 
Wewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.
Sina jambo la kuigiza au kuogopa JF bado. Na hata wanaonijua nje ya JF kupitia JF wanajua siogopi kujulikana natumia JF.
Isipokuwa mimi tu ndo unaniogopa
 
Wewe kama mimi yani. Sina cha kuficha. Marafiki zangu ambao hawako huku nawaambia kuhusu JF na wanajiunga na wanaijua ID yangu.
Sina jambo la kuigiza au kuogopa JF bado. Na hata wanaonijua nje ya JF kupitia JF wanajua siogopi kujulikana natumia JF.
Kama ni kweli mbona umeinama tusione iyo baby face; Fanya kuinuka ebu
 
Back
Top Bottom