Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Umeachika lini io mzee mwenzangu?mi sipendi kupata lawama ya kumnyang'anya mtu tonge mdomoni...ila km umeachika kwa heri basi ni vyema, mapenzi ya watu wazima matam sana,hayana drama kabisa.
Hamna drama sisi ni matured mzee mwenzangu
 
Hamna drama sisi ni matured mzee mwenzangu
Haah sana tu...vp kuna haja ya mahari mzee mwenzangu?, matarumbeta na shangwe, au kimya kimya tu, tunawahi church misa ya kwanza Padri anafanya yake, by the time watoto waanamka wanakuta shughuli ishaisha...tupo mezani tunapata kifungua kinywa, tuwahi vibaruani...[emoji1787][emoji1787]
 
Ewaaa matarumbeta ya nini, Kimya kimya ndiyo nzuri mzee mwenzangu! Hela za matarumbeta tunazipeleka kwenye miradi😂
 
Hawa jamaa na mimi niliwaona Instagram then siku moja nikabahatika kutembelea showroom yao, jamaa wana vitu classic hatari.
Wana ma Hi-Fi na ma speakers ya kila aina hela yako tu
Wapo wapi hawa jamaa?
 
Wakuu nina plan ya kununua PARTY BOX kwa ajili ya kuwa nafanyia outdoors functions kwenye eneo la wazi linaloweza kubeba watu 80-100

Kwa research ndogp nliyofanya brand ninazozipa kipaumbele ni JBL,SONY NA PANASONIC

Je kwa bajeti ya Tzs.1,200,000/ ni party box ipi inaweza nifaa kati ya hizo brand nilizotaja.Na kama kuna mbadala wa aina nyingine ya muziki ambao utanifaa tofauti na party box mnaweza nipa mawazo

Cc Extrovert na wadau wengine ushauri wenu tafadhali.
 
Tulia Wanakuja Kukupa Muongozo Na Maeneo Ambayo Utapata Hizo
 
Nishaingia sehemu 1 ya kupunguzia stress,mle ndani ule mziki unagonga hadi unahis kuna mtu nyuma ako anakusukumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…