Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima


Ukubwa wa sound angalia tu watt ngapi?

Watt 600, 1000, na kuendelea huko ndio sounds nzuri .

Ukubwa wa mziki tunaupima hapo tu , wewe nunua brand yoyote hapo ila mimi nitakuuliza watt ngapi? Nikikuta watt 300 ,nitakudharau hapo nitaona haikiti sana hiyo.
 
mhhh wewe.

unajua kama soundbar nyingi zina watt 300 mpaka 600 tu??

usijichanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…