Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Seems una nice new idea kwa hii sekta ya home music mkuu, ila unawasilisha kwa mabano sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzee shida sana aisee,ndio kwanza niko kwenye umiliki wa hii kitu 😀
 

Attachments

  • 20200321_234346.jpg
    34.3 KB · Views: 11
Kwa hyo mkuu nikiwa na million 5-7, unaweza nipangia sound ya hatari inayosikika hta umbali wa mita 300??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu nakushukuru sana nilipotea kidogo ndio nimerudi nasoma sasa maoni ya wadau.. [emoji120][emoji120]
 
Mkuu hebu naomba nione huo mziki wa Fidek kwa picha tafadhali!
 
Mkuu tupe detail vzr kwa ss ambao hatujui kitu kweny music system kwamba kam unatak mzik mzur labda tafta hik then kile ukiunganisha unapat kitu kizur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu na hobi zao uko vizuri mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
Hahahaha gusa na

[emoji117]koffi olomide - Aspirine

[emoji117] Fally Ipupa - Ndoki

ugundue mende aliyejificha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…