Panasonic Hiyo.
Inaenda mwaka wa 13 nw tangu nautumia kuanzia 2007. Unanisumbua kidogo kwenye njia ya 1:5 nabaki kutumia 2 way channel. Na Nimepoteza Remote na Front Speaker Moja ila bado nawapa shida wenzangu nikiwasha wanaleta flash zao dj nakua mimi.
Kama kuna Mafundi watundu wa haya madude nisaidieni., maana hapa natwanga home party zote hata hivi ilivyo, kwa wanaojua sound wataelewa namaanisha nini juu ya huyu mnyama, kama atapatikana wakubadilishana nae atangaze dau atanipa system gani, nipo Dar.
Description:
Panasonic SA-HT928 5 Disc DVD/CD Changer
FM/AM Tuner
Component/SVideo Output
**REMOTE CONTROL EXCLUDED**
**TIDAK TERMASUK REMOTE CONTROL**
SB-WA928 Subwoofer
Type: 20 cm Cone type
Impedance: 4 ohm
Frequency Range: 34 Hz–220 Hz (j16 dB)
2 * SB-PF921 Front Speakers
Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 6 ohms
Frequency Range: 92 Hz–50 kHz (j16 dB)
SB-PC920 Center Speaker
Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 4 ohms
Frequency Range: 110 Hz–50 kHz (j16 dB)
- Still in good condition
- Self pick up
For more enquiries, whatsapp /Wechat or sms to me:-
JC - 011-56755337
View attachment 1395316
Sent using
Jamii Forums mobile app