Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mkuu hiz znakuwa na hi fi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni speaker kwa ajili ya Midrange mkuu ila ziko na tweeters kwa ajili ya high notes. Uzuri baadhi zina nguvu kiasi kwamba zinagusaga higher lows range. Unakuta speaker inapiga mpaka 45Hz unapata bass nzuri bila hata ya kuongeza subwoofer.

Zinatumika kwenye hifi system yeyote hazina noma.
 
Utanipa sh ngapi mkuu?

Naweza kukutumia hata nikiea huku.

Nilipanga kuja this summer, lakini Corona virus Covid-19 kapangua.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Hiyo onkyo moja wapo hadi huku usafiri itagharimu shingapi?
 
Kitu hiyo hapo inaitwa MUTEKI. Kama unakaa nyumba ya kupanga jiandae kuhama
1585025165615.png
1585025212280.png
1585025293280.png
 
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa

Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..

Nenda Kariakoo utapata ukitakacho.
 
Hizo ni speaker kwa ajili ya Midrange mkuu ila ziko na tweeters kwa ajili ya high notes. Uzuri baadhi zina nguvu kiasi kwamba zinagusaga higher lows range. Unakuta speaker inapiga mpaka 45Hz unapata bass nzuri bila hata ya kuongeza subwoofer.

Zinatumika kwenye hifi system yeyote hazina noma.
Hii kitu kuna sehemu nimeiona,inapiga kiasi chake,receiver ni maratz,speaker ni harman,ya kuunga unga kimtindo,na yenyewe ipo kwenye midrange au high-end?
 
Attachments

  • Screenshot_20200322-231555_Bazaraki.jpg
    Screenshot_20200322-231555_Bazaraki.jpg
    42.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200322-231535_Bazaraki.jpg
    Screenshot_20200322-231535_Bazaraki.jpg
    98.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200322-231515_Bazaraki.jpg
    Screenshot_20200322-231515_Bazaraki.jpg
    46.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200322-231426_Bazaraki.jpg
    Screenshot_20200322-231426_Bazaraki.jpg
    58 KB · Views: 9
Back
Top Bottom