Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hii nzuri, naonaga watu wananyonga sound za magari mjengoni au kwenye frame. Kuna jamaa ameweka kwenye kiduka chake cha kubani CD. Dual Speaker kubwa za Xplod na amp ya Boschman. Pembeni katia MiD speakers za Pioneer.Mziki wa kuunda mwenyewe mtamu sana kama una idea lakini
Lazima tujue inaekwa wap kama ni sebule ndogo haina haja ya
Kuweka channe nyingi za spika ...pia utaweza pangilia vizur wap uweke spika lako lakukung'uta low frequency pia utaamua kutokana na sebule yako basi utundike spika kama space itakuwa limited ambapo huwez tundika spika za baadhi ya radio hvo katika set up yako utatafuta spika na box lake mahususi kwa ajili ya kutundika
Viko vitu vingi vya kufanya inategemea una idea gani wewe kama una ufundi kiasi basi ni rahisi tena bei inakuwa nafuu kiasi
1.Sound processor ni kila kitu
2 amplifiers
3 receiver nzuri
4 good power supply
5 speaker zenye quality yake
Ukionganisha tayari unamziki wako utakao
Sound yake ni weka mbali na watoto arif! Ila sasa akiizibua above 80% inakuwa ina Clip!
Hio ndio kero ya sound za Kuunga unga.