Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mziki wa kuunda mwenyewe mtamu sana kama una idea lakini

Lazima tujue inaekwa wap kama ni sebule ndogo haina haja ya
Kuweka channe nyingi za spika ...pia utaweza pangilia vizur wap uweke spika lako lakukung'uta low frequency pia utaamua kutokana na sebule yako basi utundike spika kama space itakuwa limited ambapo huwez tundika spika za baadhi ya radio hvo katika set up yako utatafuta spika na box lake mahususi kwa ajili ya kutundika

Viko vitu vingi vya kufanya inategemea una idea gani wewe kama una ufundi kiasi basi ni rahisi tena bei inakuwa nafuu kiasi

1.Sound processor ni kila kitu
2 amplifiers
3 receiver nzuri
4 good power supply
5 speaker zenye quality yake

Ukionganisha tayari unamziki wako utakao
Hii nzuri, naonaga watu wananyonga sound za magari mjengoni au kwenye frame. Kuna jamaa ameweka kwenye kiduka chake cha kubani CD. Dual Speaker kubwa za Xplod na amp ya Boschman. Pembeni katia MiD speakers za Pioneer.

Sound yake ni weka mbali na watoto arif! Ila sasa akiizibua above 80% inakuwa ina Clip!

Hio ndio kero ya sound za Kuunga unga.
 
Hii ni Project ifuatayo. Nataka System yenye floor standing Speakers inayoendeshwa na AV Reciever for rich Dynamic Sound Processing. Ntanunua kimoja kimoja with time kisha ntaunga Sound lake kibabe nipate experience zaidi.

View attachment 1396363
Hii kitu ilinifungua akili kuhusu AV Reciever na maajabu yake. Now i always think of having one katika Music System Collection yangu japo nataka iwe coupled na Tower speakers za walau 250w. Nikipata boost ya dual Subs itakuwa freshi sana.

Kuhusu yale maspika ya wima ya sikuhizi, kila kampuni wanatoa hata LG, Panasonic, Sony wanayo nafikiri watanunua vijana. Its a shame for an audiophile like me to keep up with such kind of stuff and they look ugly indeed japo wanasema ni mazuri for parties na yana functionality zote za kisasa. I'll never buy them.

Kuna spika ndefu zile za Sony SS-F6000P, four way floor standing speakers, ukifunga mbili hizo, halafu na zile ndogo za bookshelf SS-B3000 (au hata SB-1000) mbili, halafu ukafunga na 5.1 channel audio system yenye watts za heshima na bluray, FM, bluetooth na audio jack, kwa muziki wa nyumbani tu utatesa.

Nilinunua hizi miaka kadhaa nyuma, pamoja na LG player. Nilipenda sana sound yake nikaishia kununua set 4 tofauti na kuzipanga, moja basement, mbiki ghorofa ya kati, na moja juu kabisa chumbani.

Ila siku hizi nazimikia zaidi speakers ambazo zina in built FM na bluetooth. Nil8nunua TW-J5500 nayo niliipenda sana. Speaker Ina FM, bluetooth, inapiga MP3s kutoka USB stick, ina audio jack . Kila kitu kipo kwenye speaker huhitaji mazagazaga na mawayawaya mengi.

Niliipenda nayo nikanunua nne tofauti na kuziweka all over my house.

Kwa muziki wa nyumbani tu zinatesa sana.

Sony SS-F6000 4-Way Floor-Standing Speaker (pair)

Sony SS-B3000 3-Way Bookshelf Speakers (Pair)

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Hii ni Project ifuatayo. Nataka System yenye floor standing Speakers inayoendeshwa na AV Reciever for rich Dynamic Sound Processing. Ntanunua kimoja kimoja with time kisha ntaunga Sound lake kibabe nipate experience zaidi.

View attachment 1396363
Hii kitu ilinifungua akili kuhusu AV Reciever na maajabu yake. Now i always think of having one katika Music System Collection yangu japo nataka iwe coupled na Tower speakers za walau 250w. Nikipata boost ya dual Subs itakuwa freshi sana.
Picha haifunguki mkuu.
 
cheki
Picha haifunguki mkuu.
naiweka hapa tena.
download.jpeg
 
Hii ni Project ifuatayo. Nataka System yenye floor standing Speakers inayoendeshwa na AV Reciever for rich Dynamic Sound Processing. Ntanunua kimoja kimoja with time kisha ntaunga Sound lake kibabe nipate experience zaidi.

View attachment 1396363
Hii kitu ilinifungua akili kuhusu AV Reciever na maajabu yake. Now i always think of having one katika Music System Collection yangu japo nataka iwe coupled na Tower speakers za walau 250w. Nikipata boost ya dual Subs itakuwa freshi sana.

Kuhusu yale maspika ya wima ya sikuhizi, kila kampuni wanatoa hata LG, Panasonic, Sony wanayo nafikiri watanunua vijana. Its a shame for an audiophile like me to keep up with such kind of stuff and they look ugly indeed japo wanasema ni mazuri for parties na yana functionality zote za kisasa. I'll never buy them.
Attachment yako sijaiona kaka.

Speaking of AV receivers...

I have some Onkyos (three to be exact) and a Denon zina mazagazaga yote kuanzia bluetooth,Wi-Fi, 4k, RJ-45, mpaka 7.2 channels za audio I bought a couple of years ago.

Kwa muziki wa ndani tu ni overkill.

Napiga kila kitu kuanzia Youtube videos, Netflix, Spotify, 4K movies to TV mpaka MP3 to speakers kutoka my DLNA servers in the house.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Hii nzuri, naonaga watu wananyonga sound za magari mjengoni au kwenye frame. Kuna jamaa ameweka kwenye kiduka chake cha kubani CD. Dual Speaker kubwa za Xplod na amp ya Boschman. Pembeni katia MiD speakers za Pioneer.

Sound yake ni weka mbali na watoto arif! Ila sasa akiizibua above 80% inakuwa ina Clip!

Hio ndio kero ya sound za Kuunga unga.

Unamaanisha kukata?? Yan ka inajizima
 
Attachment yako sijaiona kaka.

Speaking of AV receivers...

I have some Onkyos (three to be exact) and a Denon zina mazagazaga yote kuanzia bluetooth,Wi-Fi, 4k, RJ-45, mpaka 7.2 channels za audio I bought a couple of years ago.

Kwa muziki wa ndani tu ni overkill.

Napiga kila kitu kuanzia Youtube videos, Netflix, Spotify, 4K movies to TV mpaka MP3 to speakers kutoka my DLNA servers in the house.

Sent from my typewriter using Tapatalk

Denon na yamaha nawakubali kwenye hiyo sekta ...bei ndo kisanga kingine
 
Attachment yako sijaiona kaka.

Speaking of AV receivers...

I have some Onkyos (three to be exact) and a Denon zina mazagazaga yote kuanzia bluetooth,Wi-Fi, 4k, RJ-45, mpaka 7.2 channels za audio I bought a couple of years ago.

Kwa muziki wa ndani tu ni overkill.

Napiga kila kitu kuanzia Youtube videos, Netflix, Spotify, 4K movies to TV mpaka MP3 to speakers kutoka my DLNA servers in the house.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Uko juu sana braza, huku kwetu ili kupata hio av reciver yenye vyote hivyo ni 2M+ ! Bado huja collect speakers zake.

Pair ya floorstanding za nguvu ni laki 5-6 speaking of mtumba.

Bado hujakamata center na subwoofer ili walau upate 3.1 channel system.
 
Attachment yako sijaiona kaka.

Speaking of AV receivers...

I have some Onkyos (three to be exact) and a Denon zina mazagazaga yote kuanzia bluetooth,Wi-Fi, 4k, RJ-45, mpaka 7.2 channels za audio I bought a couple of years ago.

Kwa muziki wa ndani tu ni overkill.

Napiga kila kitu kuanzia Youtube videos, Netflix, Spotify, 4K movies to TV mpaka MP3 to speakers kutoka my DLNA servers in the house.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mkuu samahani aisee lini unakuja bongo uniletee hata moja na mimi...
 
Hyo amp, nipeni maelekezo nitafute ni na nini nipate mziki wa maana waksumbua watu, nataka dundoo lakufukuza corona kabisa, imeandikwa 550a output.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii iko vizuri japo ni midrange amp, inasukuma 150watts per channel kwa speaker zenye ohms 6-16.

Cha msingi tafta floor standing speakers za watts 100+ na Pre-amped Subwoofer yako ya 100+ watts uanze kula burudani.
 
Mkuu samahani aisee lini unakuja bongo uniletee hata moja na mimi...
Utanipa sh ngapi mkuu?

Naweza kukutumia hata nikiea huku.

Nilipanga kuja this summer, lakini Corona virus Covid-19 kapangua.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom