kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Naaaa kamanda mkuuLete hiyo 2m yko nikupe hiyoView attachment 1394918View attachment 1394920View attachment 1394921
Sent using Jamii Forums mobile app
K,K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaaa kamanda mkuuLete hiyo 2m yko nikupe hiyoView attachment 1394918View attachment 1394920View attachment 1394921
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.Hii radio ninayo mkuu ila mbona haitoi sound kali mkuu... Au nakosea nin.
Elimu kidgo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua hii ya leo, nakula pini la jux "zaidi" ile mambo ni hatari humu.............Pic kwangu imekataa kufunguka mkuu nilitaka niione hii material.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji134][emoji134] Mimi nimeachwa kwenye mataa hapaMkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.
Ukitaka enhanced bass weka "Standard"
Kwenye Presets za Sorround weka "Bongo" this is the best preset so far. Ina blend vizuri na Presets zote za Sorround.
Kisha ingia kwenye System setup specifically kwenye speaker setup.
Pandisha dB count toka 0 mpaka +6dB kwa kila speaker za front, rear, centre na Subwoofer. Utapata sound bora zaidi. Kwa wale wanaosema System haina sauti ya kutosha hapa ndipo mtego ulipo.
Unaweza pia kuset distance ya speaker toka zilipo mpaka kwenye makochi unapokaa ili ziweze ku calibrate sauti kulingana na umbali wa sikio lako.
Ukimaliza hayo njoo unishukuru.
Hio ndio jinsi ya ku tweak na hometheatre ya Sony DAV-DZ650 ili kupata sauti bora.[emoji134][emoji134] Mimi nimeachwa kwenye mataa hapa
Nice crib, power to you brav....Hahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.🤣🤣🤣
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
Af Sijapata P.M yeyote ujue.Mwamba umepata PM ngapi mpaka saa hizi ?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Acha nikupende tu bure [emoji847][emoji847]Hio ndio jinsi ya ku tweak na hometheatre ya Sony DAV-DZ650 ili kupata sauti bora.
Cheza na Remote yake.
Bonya kitufe cha EQ kupata Preset ya "Bongo"
Bonya kitufe cha sorround kupata Preset ya "Standard" au "Multi"
Hiki unachosema uko sahihi me niliokota mtumba wa Pioneer huwa naishia 2volume BasiMsitaje hizo watts kama mnatamka maswala ya Corona...
Unajua real 1000w acha na hizi ma music system wana rate tu kisoko zaidi maana washajua wingi wa watts unauza bidhaa...
If you ever notice seapiano ya watts 120 inapiga kuliko theatre la sony or lg la watts 300
Vivo hivo
We nikikuundia mfumo wa watts 1000
Where nitakuwekea sub 12inch ya 600rms
Then speaker nne za 100w each ambayo hutoweza fikisha saut hata kuikaribia nusu kwa matumiz ya nyumban ndo uje useme watts 2000 tena nyumban ,[emoji16][emoji16] nilipo kuna club ina candy mbili tu club nzima hizo ni za bass 1000w rms each na zingne za saut kawaida!! Pia kuna bar flan ina fidek moja la watts 800 sub linafumua hatari bia zinacheza tumboni afu vijana mnaongelea watts zisizo na uhalisia
😍 Karibu sana katika ulimwengu wangu mama, nami nmekupokea bure kabisa.Acha nikupende tu bure [emoji847][emoji847]
Unasikiza nyimbo gani kwenye hiyo h/treatre?..Acha nikupende tu bure [emoji847][emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Namsikiliza aslay naenjoy [emoji847]Unasikiza nyimbo gani kwenye hiyo h/treatre?..
au ni ule wimbo wako pendwa wa Raha by Marioo??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7] Karibu sana katika ulimwengu wangu mama, nami nmekupokea bure kabisa.
Hahahah mwamba sio nyingi, kadhaa tu 😂😂😂Nice crib, power to you brav....
Ila mwamba sema ukweli umepata PM ngapi mpaka saa hizi baada ya kutuma haka kapicha ?
😂😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23]aya bhana..Enjoy your weekend[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Namsikiliza aslay naenjoy [emoji847]
[emoji120] [emoji8][emoji8][emoji23][emoji23]aya bhana..Enjoy your weekend
😂😂😂😂😂😂Hahahah mwamba sio nyingi, kadhaa tu 😂😂😂
Hiyo Page inaitwaje.. Wapo Insta?Hio mi nilichukulia Nairobi mkuu. Kitambo sana. Ila kwa mjini hapo huwezi kosa kuna page niliona wanaiuza laki 5
Hio ndio jinsi ya ku tweak na hometheatre ya Sony DAV-DZ650 ili kupata sauti bora.
Cheza na Remote yake.
Bonya kitufe cha EQ kupata Preset ya "Bongo"
Bonya kitufe cha sorround kupata Preset ya "Standard" au "Multi"