Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Hii radio ninayo mkuu ila mbona haitoi sound kali mkuu... Au nakosea nin.

Elimu kidgo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.
Ukitaka enhanced bass weka "Standard"

Kwenye Presets za Sorround weka "Bongo" this is the best preset so far. Ina blend vizuri na Presets zote za Sorround.

Kisha ingia kwenye System setup specifically kwenye speaker setup.

Pandisha dB count toka 0 mpaka +6dB kwa kila speaker za front, rear, centre na Subwoofer. Utapata sound bora zaidi. Kwa wale wanaosema System haina sauti ya kutosha hapa ndipo mtego ulipo.

Unaweza pia kuset distance ya speaker toka zilipo mpaka kwenye makochi unapokaa ili ziweze ku calibrate sauti kulingana na umbali wa sikio lako.

Ukimaliza hayo njoo unishukuru.
 
.............Pic kwangu imekataa kufunguka mkuu nilitaka niione hii material.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Chukua hii ya leo, nakula pini la jux "zaidi" ile mambo ni hatari humu
IMG_20200321_193918.jpg
🤣🤣🤣
 
Mkuu kwenye Presets za EQ weka "Multi" hii itaongeza clarity ya speaker na zote zitaongea.
Ukitaka enhanced bass weka "Standard"

Kwenye Presets za Sorround weka "Bongo" this is the best preset so far. Ina blend vizuri na Presets zote za Sorround.

Kisha ingia kwenye System setup specifically kwenye speaker setup.

Pandisha dB count toka 0 mpaka +6dB kwa kila speaker za front, rear, centre na Subwoofer. Utapata sound bora zaidi. Kwa wale wanaosema System haina sauti ya kutosha hapa ndipo mtego ulipo.

Unaweza pia kuset distance ya speaker toka zilipo mpaka kwenye makochi unapokaa ili ziweze ku calibrate sauti kulingana na umbali wa sikio lako.

Ukimaliza hayo njoo unishukuru.
[emoji134][emoji134] Mimi nimeachwa kwenye mataa hapa
 
Hahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.🤣🤣🤣
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
Nice crib, power to you brav....
Ila mwamba sema ukweli umepata PM ngapi mpaka saa hizi baada ya kutuma haka kapicha ?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Msitaje hizo watts kama mnatamka maswala ya Corona...

Unajua real 1000w acha na hizi ma music system wana rate tu kisoko zaidi maana washajua wingi wa watts unauza bidhaa...

If you ever notice seapiano ya watts 120 inapiga kuliko theatre la sony or lg la watts 300

Vivo hivo

We nikikuundia mfumo wa watts 1000

Where nitakuwekea sub 12inch ya 600rms

Then speaker nne za 100w each ambayo hutoweza fikisha saut hata kuikaribia nusu kwa matumiz ya nyumban ndo uje useme watts 2000 tena nyumban ,[emoji16][emoji16] nilipo kuna club ina candy mbili tu club nzima hizo ni za bass 1000w rms each na zingne za saut kawaida!! Pia kuna bar flan ina fidek moja la watts 800 sub linafumua hatari bia zinacheza tumboni afu vijana mnaongelea watts zisizo na uhalisia
Hiki unachosema uko sahihi me niliokota mtumba wa Pioneer huwa naishia 2volume Basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia LG Speaker zinazotoa Sound ni mbili tu.. Nyingine wakati nafungiwa nilielekezwa namna ya kufanya ili zitoe Sound pia.. Ila nimesahau.
Unaweza kunisaidia Boss.. Halafu na Namna sauti inaweza kuwa na Base.
Hio ndio jinsi ya ku tweak na hometheatre ya Sony DAV-DZ650 ili kupata sauti bora.

Cheza na Remote yake.
Bonya kitufe cha EQ kupata Preset ya "Bongo"
Bonya kitufe cha sorround kupata Preset ya "Standard" au "Multi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom