Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

mavitu kibaooooo, sasa mavitu yote hayo yakikaa geto si kutakuwa kama gereji? au dukani kwa fundi redio wa mtaani, mshauri kwa bajeti yake atafute h/theatre yenye option zote kuanzia radio mpaka Bluetooth na watts angalau 1000 afurahie maisha, sio akitaka kusikiliza redio lazima awe na testa za kufungulia waya ili abadili.

Sent using Jamii Forums mobile app


We ndo umewaza hivo.....ukishaset kila kitu unafungua ya nini sasa
 
Mkuu kibongo kibongo brand kama Bose utamuuzia nani ?
Hiyo brand kwa bongo hata hawaijui maana bei zake si za kitoto..
Cheki haka kaspika kakuchaji lakini kanauzwa zaidi ya laki 900000 za kibongo hapa
Mziki wa bose labda aandae M10
Kibongo bongo Sony hana mpinzani ila Nairobi kuna Brand kama Harman Kardon, Bose, Bang & Olufsen, Onkyo na nyingine nyingi zote mpya! mfuko wako tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
20200214_205639.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa

Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..
Mtwango wa nguvu wa nyumbani usipungue watts 2000 uwe sony, bose,panasoni n.k ukizidi sana itakuwa kero pia kwa hela hiyo anapata mo ningechukua wa watts 2200
 
Dundo la Onkyo, hilo weka mbali na watoto braza. Mi siongei sana ila wanaojua sound watakuelekeza zaidi.
Dah...mie hapo kwenye watts ndiyo huwa pananichanganya sana...kwanini wasiwe wanafanya rating ya vyombo vyenye mifumo ya sauti kwa dB au ohms tu?

Sent using Beretta ARX 160
 
Hio ni ya ku Extend pia
Aha kwa hiyo nielekeze zilipo tafadhali nina Sony Kama hiyo na TCL nataka nipangilie mtwango.

Halafu remote hizi utakuta unazo nne unaanza kufokea akina dogo walikoweka wakati kama ni kuwa na mpangilio kama huo kila kitu kinakuwa shwari
 
Dah...mie hapo kwenye watts ndiyo huwa pananichanganya sana...kwanini wasiwe wanafanya rating ya vyombo vyenye mifumo ya sauti kwa dB au ohms tu?

Sent using Beretta ARX 160
decibels sindio watatuchanganya mazima.
 
Aha kwa hiyo nielekeze zilipo tafadhali nina Sony Kama hiyo na TCL nataka nipangilie mtwango.

Halafu remote hizi utakuta unazo nne unaanza kufokea akina dogo walikoweka wakati kama ni kuwa na mpangilio kama huo kila kitu kinakuwa shwari
Hio mi nilichukulia Nairobi mkuu. Kitambo sana. Ila kwa mjini hapo huwezi kosa kuna page niliona wanaiuza laki 5
 
Mtwango wa nguvu wa nyumbani usipungue watts 2000 uwe sony, bose,panasoni n.k ukizidi sana itakuwa kero pia kwa hela hiyo anapata mo ningechukua wa watts 2200


Msitaje hizo watts kama mnatamka maswala ya Corona...

Unajua real 1000w acha na hizi ma music system wana rate tu kisoko zaidi maana washajua wingi wa watts unauza bidhaa...

If you ever notice seapiano ya watts 120 inapiga kuliko theatre la sony or lg la watts 300

Vivo hivo

We nikikuundia mfumo wa watts 1000

Where nitakuwekea sub 12inch ya 600rms

Then speaker nne za 100w each ambayo hutoweza fikisha saut hata kuikaribia nusu kwa matumiz ya nyumban ndo uje useme watts 2000 tena nyumban ,😁😁 nilipo kuna club ina candy mbili tu club nzima hizo ni za bass 1000w rms each na zingne za saut kawaida!! Pia kuna bar flan ina fidek moja la watts 800 sub linafumua hatari bia zinacheza tumboni afu vijana mnaongelea watts zisizo na uhalisia
 
Panasonic Hiyo.

Inaenda mwaka wa 13 nw tangu nautumia kuanzia 2007. Unanisumbua kidogo kwenye njia ya 1:5 nabaki kutumia 2 way channel. Na Nimepoteza Remote na Front Speaker Moja ila bado nawapa shida wenzangu nikiwasha wanaleta flash zao dj nakua mimi.

Kama kuna Mafundi watundu wa haya madude nisaidieni., maana hapa natwanga home party zote hata hivi ilivyo, kwa wanaojua sound wataelewa namaanisha nini juu ya huyu mnyama, kama atapatikana wakubadilishana nae atangaze dau atanipa system gani, nipo Dar.

Description:
Panasonic SA-HT928 5 Disc DVD/CD Changer
FM/AM Tuner
Component/SVideo Output
**REMOTE CONTROL EXCLUDED**
**TIDAK TERMASUK REMOTE CONTROL**
SB-WA928 Subwoofer

Type: 20 cm Cone type
Impedance: 4 ohm
Frequency Range: 34 Hz–220 Hz (j16 dB)
2 * SB-PF921 Front Speakers

Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 6 ohms
Frequency Range: 92 Hz–50 kHz (j16 dB)
SB-PC920 Center Speaker

Type: 2 way, 3 speaker system (Bass reflex)
Impedance: 4 ohms
Frequency Range: 110 Hz–50 kHz (j16 dB)

- Still in good condition
- Self pick up

For more enquiries, whatsapp /Wechat or sms to me:-

JC - 011-56755337
panasonic_saht928_dvd_home_theater_sound_system_1514001498_76a717c30.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nadhani tafuta music system nzuri ya Sony. Hawa jamaa ktk music wa namna hii ni wazuri na inadumu. Ila tafuta hata ya laki 8-9

Kwa Sony hiyo music system ni uhakika. Ila kama wataka mziki hata wa Party hapo nunua fidek mayai moja ile ya doubke, kisha na powered mixer, hapo na mic za UHF utapata.

Mziki wa fidek ni hatari, au nunua zile single mbili, moja weka upande huu na nyingine upande huu, hapo majirani lazima wakutafute wajue mziki unaotumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
@Aleyn katika ubora wako[emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Back
Top Bottom