Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Tukiachana na maswala ya mwonekano, huu ushauri wako wa kununua spika na power mixer naona ni bora zaidiMkuu mimi nadhani tafuta music system nzuri ya Sony. Hawa jamaa ktk music wa namna hii ni wazuri na inadumu. Ila tafuta hata ya laki 8-9
Kwa Sony hiyo music system ni uhakika. Ila kama wataka mziki hata wa Party hapo nunua fidek mayai moja ile ya doubke, kisha na powered mixer, hapo na mic za UHF utapata.
Mziki wa fidek ni hatari, au nunua zile single mbili, moja weka upande huu na nyingine upande huu, hapo majirani lazima wakutafute wajue mziki unaotumia.
Sent using Jamii Forums mobile app